GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
nilijua ni mm tu kumbe tumeona wengiAzam wanakera sana sasa hii kamera wanayotumia kutuoneshea mpira wameiweka wapi? Yaani hakuna hata raha ya kuangalia mpira
TehKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Dua la Kuku hili Dada.Kila la heri Namungo
πππ
Hahhahha hata kama acha niwatakie tu kila la heriDua la Kuku hili Dada.
Umeme vipii upo leo dada akee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu siku hizi hatushtuani. Naona una switch tu.KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hivi ww unazijua camera pantom[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kulinganisha camera za tecno na maswala ya kijingaYani kama wanatumia camera ya tecno bhana,ila huu uwanja ni mzuri aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Halafu huwa mnasema Wananchi tunajua kuhama timu hapa hiki ni nini Dada leo?Hahhahha hata kama acha niwatakie tu kila la heri
Ngapi ngapi uko kwaniKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"