FA kubali yaishe muanze ukurasa mpya

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
475
BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na msanii mwenzake Lady Jay Dee, msanii huyo amesalim amri na kuwaomba mashabiki wake msamaha.

Mwana F.A amelazimika kuwaomba mashabiki wake msamaha kwa kitendo chake cha kuita shoo ya Lady Jay Dee kuwa ni sawa na Fundraising(mchango wa fedha za msaada) kitendo kilicho mkera Jedee nakumpachika msanii huyo jina la 'MwanaFAtuma'.

"Chukulieni poa kwani hiyo ni hali ya kawaida katika maisha ya binadamu,alisema Mwana F.A baada ya kusoma comment za wadau wa muziki katika mitandao hiyo. Source habari Mpya.com
 
ohooo sasa ndo nimeelewa sasa y wadau wanamshambulia jide kumbe mwana f.a ndiye aliyeanza kumdhihak mwenzie
 
Yani kwa wasanii tu wanaomuunga mkono jide hao waliojibainisha tu ambao ni prof J,nature, na sugu tayari Fa keshapoteza wasanii kibao bado ambao hawajajivua gamba na kuvaa gwanda wanasubiria upepo na soon upepo utakaa sawa lazima upande wa pili wakae chini, fikiria jide aanzishe ziara ya mikoani akodi uwanja mkubwa uone balaaa lake, hatariiiiiiiii, watanzania wengi sasaivi hawataki usaliti ndicho kilichomponza fa, fikiria ni nyimbo ngapi wameshirikiana na jide?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…