MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
AsanteNice
This is half marathonMedali aliyoshinda Simbu ni ya kwanza Tanzania kwa mbio za marathon na siyo ya kwanza kupatikana kutoka IAAF World Athletics championship. Mwanariadha Fabiano Joseph alikuwa mtanzania wa kwanza kuipatia Tanzania medali ya dhahabu kwenye World Athletics Championship mwaka 2005 jijini Edmonton, Canada. Nimeona niweke hili sawa maana sasa kinachoendelea ni upotoshaji.
Link hiyo hapo chini toka tovuti ya shirikisho la riadha la dunia kuonyesha matokeo ya Half Marathon mwaka 2005.
World Athletics | Half Marathon Result | 14th IAAF World Half Marathon Championships
Half Marathon men's final result from the 14th IAAF World Half Marathon Championships in Edmontonworldathletics.org
Medali aliyoshinda Simbu ni ya kwanza Tanzania kwa mbio za marathon na siyo ya kwanza kupatikana kutoka IAAF World Athletics championship. Mwanariadha Fabiano Joseph alikuwa mtanzania wa kwanza kuipatia Tanzania medali ya dhahabu kwenye World Athletics Championship mwaka 2005 jijini Edmonton, Canada. Nimeona niweke hili sawa maana sasa kinachoendelea ni upotoshaji.
Link hiyo hapo chini toka tovuti ya shirikisho la riadha la dunia kuonyesha matokeo ya Half Marathon mwaka 2005.
World Athletics | Half Marathon Result | 14th IAAF World Half Marathon Championships
Half Marathon men's final result from the 14th IAAF World Half Marathon Championships in Edmontonworldathletics.org
Wewe keyboard warrior kwanini hukwenda kukinukisha?Walioshambuliwa kwa kosa la kwenda mahakamani wanayo haja ya taarifa kama hizi?
Wewe keyboard warrior kwanini hukwenda kukinukisha?
Kwanini hukwenda kukinukisha?Kwani kwenye huu uzi wako, hii ni comment ya ngapi vile?