Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Yuko sahihi umri wa JPM wengi wetu ni umri wa Wazazimayala njaa mbaya.... Rais hafananishwi na baba mzazi waonbe radhi wazazi!
Wewe furaha yako atajwe Mbowe mara hv mara vile?Huyu jamaa huwa anajipendekeza mpaka basi. Kila kitu mpaka amseme JPM, Mara hivi Mara vile!!
Kwanza soma hii sheria ya kuhusu uteuzi wa gavana wa BOT especially hapo palipozungushiwa mduara mwekundu baada ya hapo naamini maswali yako mengi yatakuwa yamejibiwa. Ila kiufupi sheria haizuii sababu kumbuka yeye ni mkuu wa taasisi kiutawala ila wataalamu ni hao manaibu gavana watattu NA wengineo huko kwenye idara zaopaskali,mtafute na yule mwanasheria aliyepewa ugavana atuambie atawezaje kujenga hoja za kiuchumi mbele ya wanauchumi wa Benki ya Dunia,IMF na mbele ya magavana wenzie,
na atuambie yale makabati ya accounts aliyasomea wapu au mara ya mwisho aligusa daftari la somo la uchumi