Facebook account verification

Facebook account verification

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Habari wataalam
Naomba kisaidiwa jinsi ya kufanya identify cormfmation ya Facebook
Nimejaribu naona sifanikiwi
Ahsante

Screenshot_20211127-170053.png

Screenshot_20211127-170030.png
 
Unataka kuwa verified facebook na blue tick au kuwa verified tu
 
Sasa kama umeambiwa u-confirm Identity yako, kinachokushinda ni kipi?
 
Nieleweshe zote 2 sijui tofaut zake
Kua verified na kuwekewa blue tick/ Facebook blue badge hapo hadi account iwe ina wakilisha public figures mfano mtu maarufu, msanii au taasisi ili kufanya account iwe tofauti na nyingine mfano kama ilivyo JF ipo verified katika mitandao ya kijamii.

Ila kuverify account kwa kawaida hapo ni kuifanya account itambulike na facebook au na watu wengine hapo ndipo unaweza verify kwa email au namba ya simu ili facebook watambue mtumiaji wa account hiyo ni mtu halisi wala si robot.
 
Sasa wameniambia nifanye ivyo .wakaniletea sehem ya ku upoload details zangu apo ndo nafeli
 
Hapo ukiweka details zote wanazo wanazo hitaji na kukuomba uupload ombi lako litafanyiwa kazi na utapokea ujumbe either kwenye account yako Facebook au kwenye email uliyo unganisha na account.

Japo si rahisi kuwa verified kwa ombi la mara ya kwanza hapo watakwambia wamepitia account yako na wamegundua huwezi kuwa verified kwa wakati huu hivyo wanakushauri utume tena ombi jingine baada ya Siku 30.

NB: Kua verified ni kipengele kwa sababu wataingia mitandaoni kukutafuta kama ni Mtu Maarufu ila kama siyo itachukua muda sana.
 
Nimekuelewa blood
 
Back
Top Bottom