Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Nieleweshe zote 2 sijui tofaut zakeUnataka kuwa verified facebook na blue tick au kuwa verified tu
Kua verified na kuwekewa blue tick/ Facebook blue badge hapo hadi account iwe ina wakilisha public figures mfano mtu maarufu, msanii au taasisi ili kufanya account iwe tofauti na nyingine mfano kama ilivyo JF ipo verified katika mitandao ya kijamii.Nieleweshe zote 2 sijui tofaut zake
Sasa wameniambia nifanye ivyo .wakaniletea sehem ya ku upoload details zangu apo ndo nafeliKua verified na kuwekewa blue tick/ Facebook blue badge hapo hadi account iwe ina wakilisha public figures mfano mtu maarufu, msanii au taasisi ili kufanya account iwe tofauti na nyingine mfano kama ilivyo JF ipo verified katika mitandao ya kijamii.
Ila kuverify account kwa kawaida hapo ni kuifanya account itambulike na facebook au na watu wengine hapo ndipo unaweza verify kwa email au namba ya simu ili facebook watambue mtumiaji wa account hiyo ni mtu halisi wala si robot.
Hapo ukiweka details zote wanazo wanazo hitaji na kukuomba uupload ombi lako litafanyiwa kazi na utapokea ujumbe either kwenye account yako Facebook au kwenye email uliyo unganisha na account.Sasa wameniambia nifanye ivyo .wakaniletea sehem ya ku upoload details zangu apo ndo nafeli
Nimekuelewa bloodHapo ukiweka details zote wanazo wanazo hitaji na kukuomba uupload ombi lako litafanyiwa kazi na utapokea ujumbe either kwenye account yako Facebook au kwenye email uliyo unganisha na account.
Japo si rahisi kuwa verified kwa ombi la mara ya kwanza hapo watakwambia wamepitia account yako na wamegundua huwezi kuwa verified kwa wakati huu hivyo wanakushauri utume tena ombi jingine baada ya Siku 30.
NB: Kua verified ni kipengele kwa sababu wataingia mitandaoni kukutafuta kama ni Mtu Maarufu ila kama siyo itachukua muda sana.