Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Takwimu zilizotolewa na Digital 2022 Global Overview Report zimeonesha mtandao wa kijamii wa Facebook ndio mtandao platform inayotumiwa na wengi
Mbali na matokeo hayo mtandao wa WhatsApp umeonekana kupendelewa na wengi katika kufanya mawasiliano ukilinganisha na platforms nyingine za mawasiliano duniani