wewe ndiyo inakuharibuHapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea
wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao inazidi
kuchafua kizazi
cha waafrica .Halafu ukiachana na hilo utakuta hata wafanyakazi wa offisi nyingi wanatumia muda mwingi
kweny internet wakichat na kucheza comp game "sijui taifa linaelekea wapi kwa disign hii"
your a great thinker madam yana ukweli maneno yako..hili swali liko so pertinent aisee. Kuna ofisi niliingia hizo site zote zimefungwa na huwezi access (pamoja na youtube etc), wameachiwa mails tu, kama unataka hizo zingine tumia sim yako ya mkononi. Wanasema performance imepanda sana na watu wamekua focussed.
tuchunge sana isiwe ni intellectual weapon ya kutupumbaza ili tusifaidi manufaa ya internet inavo takiwa.
Ni sawa kabisa ila do you trust watu kwa kufanya uchaguzi wa busara? TV tulichagua kwa busara the programs that benefit us au tulichukua tu na ma soap opera yote tukameza? simu, tunatumia kwa business and familly au? kweli kila kitu kina two sides ila we tend to be more attractd with the wrong side Lizzy wangu.Watu ndio wanaotumia mtandao vibaya.
Wenyewe uko pale kutumiwa vyovyote atakavyo mtumiaji na sio kwamba upo kwenye destructive mode already. Ndio maana sio wote wanautumia wanaharibikiwa....ni swala la uchaguzi wa vipi uutumie n vipi usiutumie linaloamua kama utakusaidia au la.
Ni sawa kabisa ila do you trust watu kwa kufanya uchaguzi wa busara? TV tulichagua kwa busara the programs that benefit us au tulichukua tu na ma soap opera yote tukameza? simu, tunatumia kwa business and familly au? kweli kila kitu kina two sides ila we tend to be more attractd with the wrong side Lizzy wangu.