Facebook Threatens To Block Uganda Over Anti – Homosexuality Bill

Hii Habari ni ya Kweli.

Soma Hapa

Nimefurahishwa sana na baadhi ya comments za waganda. Wako Tayari kuachana na Facebook kuliko kukubali huu ujinga wa Magaribi.

Sijui Wabunge wa Tanzania wanasubiri nini wasipeleke Mswada kama huu Bungeni.

Lakini inaonekana hili ni tatizo kubwa nchini Uganda. Leo kuna picha zimesambaa facebook zinazomwonyesha bosi wa timu ya taifa akiwalawiti wachezaji wa timu ya taifa ya wanaume ya Uganda. Wanatakiwa wamshughulikie kisawasawa kuonyesha kuwa hawapendi hiki kitendo cha kishetani.
 
facebook ndo nani ww unataka huo upuuzi uendelee kwenye nchi zetu za kibantu facebook ina tofauti gani na mganga kutoka sumbawanga company Ltd. hii izi inchi zina wenyewe na wao facebook wana nchi zao wasitake kututawala kishenzi ivyo
 
umaskini bana kitu kibaya sana, sasa hata wenye vimisuli vya panzi nao wanataka kuonyesha ubabe wao mbele ya Africa.

Inabidi watu wa west waelimishwe kinachoendelea kuhusu homosexuality, huku mitaa ya Africa,

Rushwa za ngono ni kawaida na wahusika wakuu wa hii mitandao ya gays wanamiliki pesa na business networks za kutosha (inawezekana wanapokea mapesa ya sapoti kutoka huko huko magharibi) hakuna research zozote zilizozofanywa zinazoonyesha kwamba hii hali haisababishi watoto kuingia kwenye hizi homosexuality networks. tunachoona ni kwamba wanaojihusisha na mitandao ya gays nao muda si muda wanajiunga kwenye hizo tabia na maisha yanaanza kuwanyookea.

Mtoto wa kiafrika ni mtoto wa familia nzima/mtaa/kijiji ; mjomba, baba mdogo, kaka au hata jirani tu anaweza akakaa na mtoto akamueleza na kumshawishi chochote kile na mtoto akamsikiliza hasa kama kuna pesa inahusika.

Homesexuals wanajulikana dunia nzima kama high risk group kwa maambukizi ya HIV ila huku kwetu hakuna elimu ya kutosha ya kinga au huduma za afya maalumu kwa hili group, wahusika wengi wameoa/kuolewa at the same time. Hii vurugu ni hatari sana inaweza kuongeza kasi ya maambukizi ya HIV...

kuna mengi tu yakufikiria na kutilia maanani kabla ya kiongozi yoyote ya kiafrica kufungua mdomo wake na kutoa okay kwa hii tabia ya ajabu ajabu ambayo hata hatujui imetokea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…