Mla Mbivu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 224 Reaction score 48 Nov 16, 2010 #1 MTANDAO WA KIJAMII NAMBARI MOJA DUNIANI WENYE MEMBERS WANAOFIKIA MILIONI 500 UMESHACHUKUA SITE YA Welcome to Facebook KWA AJILI YA KUANZISHA HUDUMA YA E-MAIL AMBAYO INAONEKANA KUJA KUWA TISHIO KWA GMAIL NA YAHOO!! mfano@fb.com MNAIONAJE HIYO!!!
MTANDAO WA KIJAMII NAMBARI MOJA DUNIANI WENYE MEMBERS WANAOFIKIA MILIONI 500 UMESHACHUKUA SITE YA Welcome to Facebook KWA AJILI YA KUANZISHA HUDUMA YA E-MAIL AMBAYO INAONEKANA KUJA KUWA TISHIO KWA GMAIL NA YAHOO!! mfano@fb.com MNAIONAJE HIYO!!!
Zasasule JF-Expert Member Joined Aug 12, 2009 Posts 1,001 Reaction score 103 Nov 16, 2010 #2 nahisi wanajaribu.kukamata ulimwengu wa vijana
Mpasuajipu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 836 Reaction score 50 Nov 16, 2010 #3 Umepata wapi hii? SOURCE PLEASE!
Ilumine Senior Member Joined Dec 27, 2008 Posts 196 Reaction score 4 Nov 16, 2010 #4 Ipo safi hiyo! vipi umeshaanza kufanya kazi? Nimejaribu nimeshindwa.
Mla Mbivu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 224 Reaction score 48 Nov 16, 2010 Thread starter #5 Mpasuajipu said: Umepata wapi hii? SOURCE PLEASE! Click to expand... IPO KARIBU KWENYE NEWS ZOTE ZA TECHNOLOGY, GOOGLE "FACEBOOK E-MAIL SERVICE" UTAONA. MOJA WAPO YA SOURCE NI HII HAPA
Mpasuajipu said: Umepata wapi hii? SOURCE PLEASE! Click to expand... IPO KARIBU KWENYE NEWS ZOTE ZA TECHNOLOGY, GOOGLE "FACEBOOK E-MAIL SERVICE" UTAONA. MOJA WAPO YA SOURCE NI HII HAPA
Mla Mbivu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 224 Reaction score 48 Nov 16, 2010 Thread starter #6 Ilumine said: Ipo safi hiyo! vipi umeshaanza kufanya kazi? Nimejaribu nimeshindwa. Click to expand... BADO HAIJAANZA KUFANYA KAZI BUT SOURCE ZINASEMA SOON ITAKUWA LAUNCHED, NOW UKIFUNGUWA fb.com INA REDIRECT KWENDA facebook.com
Ilumine said: Ipo safi hiyo! vipi umeshaanza kufanya kazi? Nimejaribu nimeshindwa. Click to expand... BADO HAIJAANZA KUFANYA KAZI BUT SOURCE ZINASEMA SOON ITAKUWA LAUNCHED, NOW UKIFUNGUWA fb.com INA REDIRECT KWENDA facebook.com
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 16, 2010 #7 Mwendo mzuri