Facebook yafanya Mabadiliko ya Rangi kwenye Hashtag na Mentions(Tags)

Facebook yafanya Mabadiliko ya Rangi kwenye Hashtag na Mentions(Tags)

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg.

Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu akitumia alama ya # kama hashtag Yalikuwa yakitokea maandishi Meusi yenye mkolezo, lakini kwa sasa endapo ukiweka hashtag basi maandishi yatakuwa ya blue.

Hivyo hivyo ukimention(kumtag) Mtu/Ukurasa wowote basi jina litakuwa na maandishi ya Blue. Hapo awali ukitag Jina lilikuwa likitokea na Rangi nyeusi yanye mkolezo.

Pia Facebook hapo awali ni tovuti tu ilikuwa ikionyesha kwa Rangi ya blue kwenye post lakini kwa sasa hata Links zitaonekana kwa Rangi ya blue.
 
kwani hayo maandishi meusi yaliwekwa lini? miaka yote huwa najua #tag na @_name huwa zinakuja kama link kwa rangi ya blue
 
kwani hayo maandishi meusi yaliwekwa lini? miaka yote huwa najua #tag na @_name huwa zinakuja kama link kwa rangi ya blue
Hapo mwanzo Facebook hawakuwa na hiyo Zamani ukimtag Mtu/kurasa ana appear kwa rangi nyeusi mkolezo ila kwa sasa inatokea blue.
 
Back
Top Bottom