A arigold JF-Expert Member Joined Jun 23, 2011 Posts 600 Reaction score 341 Apr 27, 2012 #1 Jamani nimeambiwa kuna page ya facebook group inayowapa watu nafasi ya kuelezea maduku duku ya utapeli wa airtel mwenye link atupatie tafadhali
Jamani nimeambiwa kuna page ya facebook group inayowapa watu nafasi ya kuelezea maduku duku ya utapeli wa airtel mwenye link atupatie tafadhali
sioni Senior Member Joined Jan 13, 2012 Posts 123 Reaction score 68 Apr 27, 2012 #2 Kama kero uliyonayo haiko hapa Airtel 3.75G is here!!! | Facebook basi isajili hapa Airtel Tanzania | Facebook Wanabore sana!
Kama kero uliyonayo haiko hapa Airtel 3.75G is here!!! | Facebook basi isajili hapa Airtel Tanzania | Facebook Wanabore sana!