Faceebook Inaumbua watu!

Faceebook Inaumbua watu!

Victor Bravo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
265
Reaction score
241
Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekua makubwa sana siku hizi hasa faceebook whatssap na insta.

Inatusaidia wengi sana hii mitandao hasa kibiashara, habari mbali mbali, burudani na mengine mengi

LAKINI

Facebook imeanza kuumbua watu kwanini?? Facebook inatuonesha namna gani watu hawajui kuandika na wengine wanapenda kingereza lakini sio broken inayoandikwa hiyo. Watu wengi wanashindwa kujua matumizi ya L na R wengine penye kuandika anakuja anaandika hanakuja. Wengine kwenye space anaweka nukta. Sasa wameibuka na hawa wa kwenye S anaweka X daa utakuta alivyoandika havieleweki mpangilio mmbaya yaani shida tupu.

Eti mtu anaandika

Xf- safi
Xhwr- shwari
Xx- sasa
Xhd-shida
Xhl-shule
Xhng- shinyanga

Kuna mambo mengi huku facebook, binafsi nikiona post ya aina hiyo au nachati na mtu ananiandikia hivyo huwa nakasirika kweli wakati mwingine naacha na kuchati nae kwa muda huo. Yapo mengi najua wapo wengi wanakereka lakini Yangu ni hayo.
 
You might not be true, humu walio wengi we do not edit our posts before release and to me there is no need. Humu ni mahali pa kupotezea muda tu sina sababu ya kupoteza muda ku edit as long as context ya post yangu imeeleweka.
 
km vp kaipost fb, itakuwa fresh xana ....

Hahahahaha hawa watoto siku hizi sijui wana matatizo gani, mbaya zaidi kuna ripoti zinao nyesha kuwa hata huko shuleni ndivyo wanavyo andika kwenye mitihani yao.. tena mpaka ile ya taifa.
 
You might not be true, humu walio wengi we do not edit our posts before release and to me there is no need. Humu ni mahali pa kupotezea muda tu sina sababu ya kupoteza muda ku edit as long as context ya post yangu imeeleweka.
Nimeongelea sana facebook huku hakuna hizo shida mkuu
 
Back
Top Bottom