Afrika ina bahati mbaya sana kuwa na watawala sampuli hii na bado hawaishi, inaonekana wataisha kwa m'binde sana.
Wanafanya mambo ya hovyo na kibaya zaidi hawataki kabisa kukosolewa, kukemewa au hata kutubu pale inapobidi...!
Mataifa ya Afrika Magharibi yame- improve sana kwa miaka ya hivi karibuni. Tatizo kubwa limebaki huku Mashariki na Kati mwa hili bara, ila with time watabadilika tu kwani dunia ya wastarabu hawatakubali kuendelea kuvumilia udikteta any more.