Fact about Pie (Mathematics constant)

Fact about Pie (Mathematics constant)

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,273
Pie ni mathematical constant inayopatikana kwa kuchukua circumference ya circe ukagawa kwa diameter yake..

Kuna fact moja about pie ambayo ni very fascinating.. Unajua value ya pie inaanza na 3.14159 na kuendelea to infinity, hizo namba zake zinaendelea bila kua na pattern ya kujirudiarudia, hii ina maana ndani ya pie peke yake, kuna namba zote ambazo ushawahi kuandika, namba zako za simu, namba za ndugu yako, birthday yako ikiwa katika systematic order kabisa, na ukisema basi namba zilipresent herufi mfano ukagawa digit mbili mbili na ukaweka katika mod 26 ambayo ni alphabets basi ndani ya pie kuna majina yote ambayo unayafahamu, kuna maneno yote ambayo ushawahi kuongea, na maneno yote ambayo kila binadamu ashawahi kuongea. Yote yako ndani ya pie.. Haha the beauty of numbers...
 
Back
Top Bottom