Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

Nakumbukaga GT Rebeca 83 (Becky) kwenye comment ya uzi wa yule waziri Jiwe alimtumbua kwasabab ya kugugumizi akiapishwa alicomment wabunge wengi ama wanasiasa wa la saba Wana confident Sana hata kwa kuongea.
 
Doctorate ya MchongoπŸ˜…
Ndio hawa waliokuwa wakituaminisha kuwa kupiga Nyungu na kunywa kile kinywaji cha Madagaskar kinaponyesha Kirusi hatari cha Covid19

Na yule alieokotwa Jalalani na yule Marehemu mwenye Phd ambae jata hata Kiinglish tu ilikuwa ni shiida

Tanzania yangu imepitia kipindi kigumu sana.
 
Kumbe Msukuma kila mara anawatukana wasomi bungeni lkn moyoni anatamani!!? Loo! Mpaka kaamua kwenda kununua PhD fake???
kuna miaka mitume na manabii walikuwa wakiponda sana degree, sayansi na usomi kwa ujumla - eti "mbele ya Mungu yote ni bure tu!". Walipopata namna ya kuhitimu bila jasho, siku hizi wote ni madokta au maprofesa wenye hata PhD 3! Na jaribu kuwataja bila kugusia hizo sifa uone kama mtaelewana.

Miaka ya nyuma zaidi walipokuwa hawana pesa, walikuwa wakiwaponda sana matajiri na wenye hali njema kwa vifungu kadhaa kwenye biblia. Walipoanza kutajirika kwa sadaka na mafungu ya kumi mahubiri yakabadilika kuanza kuwaponda wakristo wa muda mrefu ambao bado wanahudhuria vituo vya daladala badala ya kudrive. Kwamba wajichunguze uimara wa imani zao!

Ndio tabia ya "mswahili" kuponda kitu cha maana asichokuwa nacho badala ya kujikubali na kufanya juhudi kukipata.

Fikiria jinsi Watanzania tulivyoanza kujidai kukidharau kiingereza na kuanza kampeni ya kipropaganda ya kuenzi Kiswahili kwa sababu tu tumeshindwa kuimarisha vijana wetu katika lugha hiyo muhimu kwa taifa. Kumbe hata Kiswahili chenyewe tumeshakuwa weak kulinganisha na miaka iliyopita na hata na majirani zetu. Viongozi wanaponda kiingereza huku wanasomesha watoto wao kwenye English medium au International schools!
 
Hii ni kama comedy show or maybe even a tale from Enid Blyton's "The Three Golliwogs".







 
Lecturer mtarajiwa.

Dr. Musukuma atapewa kipindi cha Siasa awafundishe wanafunzi wa mwaka wa 1 UDOM!
 
Dah, hii nchi inavotuko. Hili jukwaa naliita jukwaa la manufaa kwelikweli. Tweet ya Kasheku imenifanya kucheka mpaka mbovu zinaniuma aisΓ©e. Aisee maisha matamu xana.

Eti kama 'chuo chuo cha USA kimenipendelea njooni mniuewe sasa".
 
"FACT CHECK"πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Honorary degrees are awarded to honor an individual; they hold no real-world value beyond this.πŸ“ŒπŸœ
 
Dr Msukuma alipewa pekee yake au na wengine
 
Dr Msukuma ndie msomi pekee aliyeruka madarasa na kupata phd yafaa awekwe kwenye kitabu cha guinness
 
Dr. Musukuma mwenyewe alivosimama ndani ya joho unaona kabisa hapa ni upumbavu! #$&fckv!
 
Ufinyu wa mawazo tu,watu wenye uwezo mdogo tu ndo huzishobokea PhD za heshima,mfano Msoga.
Vichwa Kama Nyerere,Mkapa,JPM walitunukiwa lakini hawakuzishobokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…