Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

Vyombo husika vinafanya nini?
Wangekuwa CDM hapo ungeona fujo zake,wangefika na vifaru , mabom,magari ya washawasha nk,ila kwa kuwa ni janja janja Chama, hapo huwa hawajishughulishi kabisa
 
Dr. Msukuma lini atakuwa bungeni?
 

Sasa kwanini kina wawakilishi waliosajiriwa Tanzania?

Tatizo ni wajinga wanaojali sana mtu kuitwa Dr sasa mpaka wa Darasa la 4 wataitwa Dr baada ya hapo wananchi wataanza kujali utendaji sio PHD. Vilevile PHD ni kwasababu ya utafiti kwenye eneo tu haina maana yeyote kwa utekelezaji zaidi ya kufundisha/kuwa mwalimu wa chuo mfano Magufuli alipata PHD kuhusu reseach ya Korosho lakini alishidwa na kuaribu soko mpaka sasa wanatapa kurekebisha!
 
Akina Kamala mbona walipeta tu tena baada ya uwaziri akapewa Ubalozi huko kwa TL Belgium? Na mwenzake Nchimbi akapewa ubalozi Brazil...na mpaka leo wanajiita madokta...

Nchi hii wewe ukipata kanafasi katumie. Hutafanywa cho chote. Hakuna uwajibikaji...
 
Mkuu mwenyewe naponda English Ila mwanangu nawaza nimuanzie naseri kule kwa mu7 ili apate real English even Ghana iko poa Sana .Mana ndo best country kwa br English
 
Kabla hujafa utaona mengi😆
Tena sana mkuu. Na hasa nchi zetu hizi ni kama sasa wanatufanya kuwa vichekesho kwao.

Huko Australia, inahusiana na madini yetu, kama ya graphite na mengine?
 
Na yule alieokotwa Jalalani na yule Marehemu mwenye Phd ambae jata hata Kiinglish tu ilikuwa ni shiida

Tanzania yangu imepitia kipindi kigumu sana.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…