Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi wa kutosha kwenye mkoa wa Dar es salaam.
NEC ya CCM ikaamua kuchelewesha kutangaza matokeo ya uchaguzi na kuzuia vyombo vya habari visitangaze matokeo ya uchaguzi toka vituoni. Yaliyofuatia ni .... well .... wezi wa kura (wanaofaa kuwa jela) walitangazwa kuwa washindi.
Hata hivyo, kwa credit yake, Kikwete alifanya vizuri sana Bagamoyo na baadhi ya mikoa ya pwani. Kilichompa nafasi kubwa hapa ni kampeni za wazi wazi zilizokuwa zikifanyika misikitini. Pamoja na watu kujua yote Kikwete aliyofanya kuifilisi nchi, mashehe waliendelea na kampeni zao za wazi kwa kikwete. Wengine walifikia hatua kuwaambia waumini wao wasimpigie kura mtu ambaye wamekuwa wakimpigia katika chaguzi tatu zilizopita - Dr. Lipumba (PhD).
Kuna kibaraka wa ccm kaanzisha mada hapa akipredict kuwa ccm watasimamisha mkirstu(o) mwaka 2015 ili kuleta "ushindani" kwenye uchaguzi. Observation yangu kwa ccm ni kuwa, mwaka 2015, hata hizo kura chache za msikitini mlizopata mwaka huu, zitayeyuka tena kurudi zilikotoka - kwa Dr. Lipumba.
Sina hakika kama NEC itakuwa na nguvu tena ya kufanya walichofanya mwaka huu.