Fact: Wanawake wanene ndiyo wife materials. Japo siyo sweet on bed

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwa kazi zangu za ukungwi nimechunguza na kujiridhisha kwamba 95% ya wanawake wanene ndiyo wenye tabia na mwenendo mzuri ktk ndoa zao.

Hii imewekwa makusudi na mwenyezi Mungu kama njia ya kuziba mapungufu yao. Kwasabb wanawake wanene asilimia kubwa ni:-
*wavivu wa kunyanduana,
*hawana ashki majinun kama wenzao wembamba,
*hawana mvuto sana kwa wakware.

Ni kwasabb hizi waume zao hawapitii kashikashi za kufumania, kudharauliuriwa na wala hawana wahaka wa wivu wa kimapenzi.

Ewe kijana ambaye hujaoa ukitaka kuishi bila stress oa mwanamke mnene.

Hawa wembamba pia wana mioyo miembamba ya uvumilivu.
UTANISHUKURU.
 
Ila wapo wengine visirani!!! Mnhhh.,
 
Moyo wa mtu ni kichaka.
Ni kweli. Lkn hata na wewe nakupa assignment, jaribu fanya uchunguzi mtaani kwako uangalie ndoa zenye vurugu mwanamke ni chemabamba ,midomo mirefu na macho makali
 
Kweli.sisi ni wavivu wa kunyanduana
Naweza kuwa na hamuuu resources zote za kunyanduana zikawa ziko on ila uvivu tu wa kukipeleka eneo la tukio ukaniponza
K inabaki tu kunenepeana
 
Back
Top Bottom