FACT

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Wanaume ndivyo tulivyo, kutenda dhambi ni sekunde 1. Hebu soma hii:

```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.

Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.
Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa nae chai.```

[emoji123]
Wanaume kokote mlipo agizeni Balimi Extra Larger, Nakuja KULIPA.
 
Haka kakichekesho nilikasoma zamani kidogo.

Ila kana fundisho flani hivi.

Nikipata nafasi ntakafafanua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunaushirikiano
 
Heshima kwa wanaume wote duniani, hatujawah kuangushana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…