facts and held

facts and held

tallnoma

Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
20
Reaction score
2
nisaidien facts na held ya kesi Christopher Mtikila ihusuyo constitutional.
 
we dogo inaonekana unataka home work yako tukufanyie sisi nenda library kajipinde mwenyewe Tanzania tunayo itaka siyo ya wasomi wanao fanyiwa home work kama kamanda mlugu
 
we dogo inaonekana
unataka home work yako tukufanyie sisi nenda library kajipinde mwenyewe
Tanzania tunayo itaka siyo ya wasomi wanao fanyiwa home work kama
kamanda mlugu

sema na wewe uko shalo kwan ata ka h/work ka unaelewa ishu c una2pia nikoteze ata outline moja, mbona una wivu kwan ata library c 2nasoma kazi za wa2, toa ushirikiano kwenye jamii mnakomaa na mambo za utan pekee yake.
 
Back
Top Bottom