Facts Kuhusu Binadamu na SEX

Zinaweza zikasurvive up to 72hrs.

Sayansi hii ina kila aina ya exceptions. Miaka ya nyuma sana kulitokea news fulani nchi marekani kwamba kuna m-dada alipata ujauzito kutokana na sperms zilizokuwa kwenye bath-tub akiwa anaoga. bath tub hii ilitumiwa na mtu mwingine nyakati za nyuma na haikuwa imeoshwa vizuri. Duniani kuna vijambo jamani.
 

sperms can live to that long....BUT thats a very rare case and can not be taken as actual facts .....only 48hrs and the rest means hizo zitakua inactive sperms which can not pregnant a woman...those sperms came out through viginal as waste
 

It happens. . .hata kwenye swimming pool mtu anaweza akapata mimba. Sema ni rare. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…