Facts kuhusu sisimizi 📝

Facts kuhusu sisimizi 📝

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
-> Sisimizi huacha ramani wanapotembea ili Sisimizi mwingine aifuate.

==> Sisimizi anatupa funzo la kithaminiana na kusaidiana katika matatizo hata kama humjui unayempa msaada.

images (5).jpeg
 
-> Sisimizi wana nguvu za ajabu sana.

Wanaweza kubeba vitu hata vilivyowazidi uzito na ukubwa hata mara 10 hadi 50 zaidi ya umbo na uzito wake. Kiwango cha uzito ambao sisimizi anaweza kubeba inategemea na jamii yake. Mfano jamii ya weaver wanaopatikana bara la Asia , wanaweza kubeba hadi Kitu kizito mara 100 ya mwili wao.
images (15).jpeg
 
Maisha ya sisimizi ni ya kitaasisi.
Sisimizi, Mchwa, Siafu, Chungu chungu, Nyuki nk wanaishi kwenye taasisi imara.
Taasisi zao zina watafuta chakula, walinzi nk.
Umoja wao ndiyo unaowapa nguvu kubeba vyakula vizito na kukabiliana na maadui zao.

Nje ya taasisi hizo wadudu hao wanaangamia haraka.
 
Back
Top Bottom