Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

Wenye mahaba hawayajui hayo. Watakwambia uchumi utapaa kwa kuondoa wafanya kaz hewa
Kwa hiyo wewe na utu uzima wako wooooote unaona wafanyakazi hewa kuwatoa ni useless?? Wewe una mahaba au umeshikiwa akili na kamanda wa anga?
 
This is not academic analysis. It is full of guessing, bias and lack of evidence.
 
Eti "We pia ni msomi eeee.....!!!! We have long way to go...kwa Wasomi hawa wasiona nini kinachofanyika ktk nchi yao iliyojaa rushwa na utendaji mbovu wa madaraka"!!! Aliyewajaza hao watendaji wabovu wa madaraka na wala rushwa hao ni nani kama siyo "..... ile ile? Tafakari sana! Mkiwa na busara hata maeneo yaliyotajwa na huyu aliyejisema ni msomi, mtayashughulikia. Usijali sana nani anakukosoa, jali HOJA!
 
We pia ni msomi eeee.....!!!! We have long way to go...kwa Wasomi hawa wasiona nini kinachofanyika ktk nchi yao iliyojaa rushwa na utendaji mbovu wa madaraka
Mkuu hiyo njia ndefu kuelekea SUKITA?
 
Kweli nimeamini mapenzi,mahaba,vyote hi UPOFU kuna watu hwalioni hili na wtapinga kwa hoja nyepes kbsa ngoja waje
 
Siku hizi amekua ni Rais wa Chato....yani washauri wake wananeemeka tu mana hawana kazi ya kufanya sababu anajishauri mwenyewe
 
Msomi hujibu hoja kisomi
......uki negate tu ukaishia hapo nawe unakua huna msaada.
Hapo nilichokoza mada. Nilifikiri atakayepinga angefanya hivyo kwa hoja ili nijibu kwa hoja. Sasa kwa hoja yako bado hujanishawishi nitoe hoja zangu. So my previous argument stands.
 
12.Kulazimisha wasomi walete BAJETI anayo itaka yy mfano Bilion 30 kupelekwa kwao CHATO kwa ajili ya kujenga Chato Airport isiyo na tija yyt ile
 
TUNATAKA TUME HURU YA UCHUGUZI....KILA MTANZANIA APAZE SAUTI HAYO MENGINE MBWEMBWE
 
Utasubiri sana. Utashindwa wewe na familia yako. Na iwe hivyo kama nilivyoandika. Nchi itasonga mbele. Amen
 
Hapo nilichokoza mada. Nilifikiri atakayepinga angefanya hivyo kwa hoja ili nijibu kwa hoja. Sasa kwa hoja yako bado hujanishawishi nitoe hoja zangu. So my previous argument stands.
Kama mwenye kupinga hupinga kwa hoja...ulipaswa uanze wewe kutoa hoja dhidi ya mleta mada..maana wewe umepinga tu mkuu.
 

Nani alikuambia Tanzania haina sera ya Kimataifa? Kwanini Watanzania ni watu wa kuzusha? Umeshindwa hata kuangalia website ya Wizara ya mambo ya nje kabla hujaandika hapa jukwaani? Halafu hizo kelele za demokrasia mnadhani kila mtu ni lofa?
 
Facts tupu mkuu..kuna wajinga watakuja kutukana hapa

Wengine tulishasimama kuhesabiwa tangu day 1 cc Nguruvi3

Kuna wengine watajitahidi kuhamisha magoli hadi nafasi za kuhamishia zitaisha

Tatizo la nchi hii sio individual ...Tatizo la nchi hii ni katiba Mbovu.....Tujenge misingi imara...tutaweza kusimamia watu vizuri.....Sio kama sasa nchi inaendeshwa toka mfukoni
 
Namba saba, umenena sijafanya tafiti lakini kwa watumishi wa Umma karibu wote ninaokutana nao na kupiga nao story wana kila dalili za wazi kwamba hawapendi jamaa anavyowachukulia, na kinachowakera zaidi ni chuki zake kwa mafisadi kuzielekeza kwa watumishi wote wa umma na mbaya zaidi ana ajiri wanasiasa katika nafasi za utendaji huku maadili ya kazi yakimkataza mtumishi wa umma kuingiza itikadi za kisiasa kazini. Hakuna kitu kibaya kama watu wanaokusaidia kazi kukuchukia, na sidhani kama ubabe unaweza kuleta tija maofisini. Hakuna statements zinazokera kama 'Nimesema fanya hivi usipofanya nakufukuza kazi'
 
Wewe mwenyewe umeandika kisiasa zaidi badala ya fact zaid....pole kwakujifanya sheikh Yahaya, tutabilie na maisha yako baada ya miaka mitano yatakuaje na utakua wapi ukifanya nini.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…