Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

Great thinkers nasubiri mwenye kuzipangua hoja alau kwa namba kama alivyopangilia mtoa hoja MM Mwanakijiji Okoa jahazi.
 


Mimi wiki iliyopita niliandika thread ikielezea mambo kama haya lakini administrator akaiondoa hapa JF.
 

Hiyo so called "preliminary observation" imefanyika Lini Na kufanywa Na nani mkuu?
 
useless
 
Great thinkers nasubiri mwenye kuzipangua hoja alau kwa namba kama alivyopangilia mtoa hoja MM Mwanakijiji Okoa jahazi.

Mkuu wale wa msimbazi wako tu. Wanaandika vituneno moja basi. Wamejaa tele hapa JF toka UKuTA ulipotangazwa. Propaganda kama kawa
 
Dah umeongea kwa goja, nmekuwa nikofiriaga Hili Ila Nkajua labda nipo peke yangu, kumbe tupo wengi. Kwakwel sielewi nchi inapoelekea ila lets hope sio kubaya
 

Umesahau ni hiyo ya watumishi wa umma kulazwa kwenye mwenge kwa lazima? Yaani sasa hivi hata walioko chini yake wameiga tabia za kuamrisha na kinyume cha sheria za utumishi.
 
N
Nadhani unataarifa siyo sahihi kwa mfano:
Bandari makusanyo yalikua bill 300 huko nyuma lakini mwezi april yalifika bill 458 na mwezi mei bill517,
kwan upande wahisan eui bill200,wamerekani bill 900 ,afdb zaidi ya bill 200,wachina trill16 nk
 
Yes..mm ndio napenda afeli sana...adui muombee njaa..anasema tumuombee ili hali anaongoza kibabe ajiombee mwenyewe mm simuombei hata kidogo.. Na msubiria Lowassa Wangu. Huyu ndio namuombea usiku na mchana Na Mungu anaendelea kujibu maombi yetu simnamuona Lowassa afya yake now he is very strong than before.. May allar keep him in Healthier
 
We pia ni msomi eeee.....!!!! We have long way to go...kwa Wasomi hawa wasiona nini kinachofanyika ktk nchi yao iliyojaa rushwa na utendaji mbovu wa madaraka
Oyaa, nchi huwa zinaendeshwa kwa uchumi, uchumi unaosimamiwa kwa kutumia tried and tested principles.
Huwezi ku-substitute hizi principles na badala yake ukaendesha uchumi kwa kupambana na rushwa na utendaji mbovu. Tanzania katika awamu hii haina economic strategy elewa hilo, hizi imani za mitishamba mlizo nazo kwamba haya maigizo ya kutimua watu serikalini yatainua uchumi ni sawa na kujisugua na jiwe bafuni ukitarajia litatoa povu la sabuni.
 
100%
 
In deed, tulisimama kuhesabiwa asubuhi na mapema. Tukaonya tatizo ni mfumo na hakuna njia ya mkato bila kupitia katiba. Tulikuwa na kauli mbiu 'tatatibu watatuelewa'
Naam! wanatuelewa taratibu.
 
Kwa kweli hata mimi mwenyewe naamini muda ndo unasema, maana kwa leo ukiniambia niseme juu ya huyu baba naweza kuandika kitabu kizima namna ambavyo mkuu wa kaya anavyokiuka misingi ya demokrasia na utawala nchini
 
Wanaomwombea mabaya rais wetu washindwe na walegee .

Mashetani wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…