Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
 
Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
Toa hoja mkuu. Mtoa thread kajielezea vizuri kbsa kwa hoja na mifano kuntu.
Hebu funguka na ww kwa kutupa concrete examples kama msomi unayetegemewa na Tanzania
 
Mkuu pangua hoja km mtoa thread alivyotoa km kweli upo kwenye wale 39% vipanga.
Mkuu toa hoja tuuone usomi wake.
Mtoa thread nimemuelewa kbsa ila ww sijakupata umekanusha hata reasons hauna
 
Aya endelea kusubiri mkono wa fisi uanguke
MKUU kuna kakitega UCHUMI kake kako Dar anaogopa watumishi wakiahamia Dodoma katakufa.kuhusu meli zimepungua nimojawapo wa WALE waliokua wanafaidika meli zikitoka bila kulipa kodi kabanwa analia.Watanyoooka tu walizoea kunyonga kuchinja hawawezi
 
WANAFIKI hupenda kusema kwa kuwaridhisha walio juu yao lakini kusema kweli ni lazima rais awaachie wengine wafikirie ili yeye asahihishe na kuamua kulingana na fikra za hao wengine. ikiwa rais anafikiria wengine ndo watekeleze na tena kwa kushangilia huo utakuwa unafiki uliopitiliza na kuseme kweli tutamzeesha tu rais wetu kwa kufikiri kupita kiasi.
 
Mkuu SONGOKA!!!

Nna jamaa yangu hapa ana degedege mguu wa jini...
Chonde chonde huduma yako ya ramli inahitajika mkuu..

fadhal akhuy!!
 
 

Bado suala la Elimu nayo imefanywa kuwa ngumu kwa watoto wa maskini hasa wanao maliza kidato cha sita na diploma ufaulu umepandishwa ghafla pasipo kuwaandaa walengwa .
 
MKUU kuna kakitega UCHUMI kake kako Dar anaogopa watumishi wakiahamia Dodoma katakufa.kuhusu meli zimepungua nimojawapo wa WALE waliokua wanafaidika meli zikitoka bila kulipa kodi kabanwa analia.Watanyoooka tu walizoea kunyonga kuchinja hawawezi
Kwani katika scenario 2 zifuatazo ipi ni nafuu:-

1. Zinaingia meli 100 na 50 zinalipia ushuru na 50 nyingine zinakwepa kodi na hivyo serikali hukusanya kiasi cha shilingi 50; au
2. Zinaingia meli 5 na zote zinalipa ushuru na Serikali hukusanya kiasi cha shilingi 5.

Hesabu si uchumi lakini jua uchumi ni hesabu.
 
Utafiti umeonesha 61% ya wahitim vyuo vikuu ni ******, we ni msomi wa ile % 39 iliyobaki?
Ila kumbuka kunamsomi wa University of dar es salaam alipata hapo degree ya kwanza na ya pili ila hajui kuongea kingereza wakati masomo toka secondary school alkuwa aksoma kwa kingeleza. Je alifauluje? Na yeye yupo kati ya ao 61% au ni 39%.
 
Hayo uliyoandika sawa, ila hayahusiani na kushinda au kushindwa kwa ccm. Yaani hizo hoja zako haziwezi kuzuia ccm ianguke 2020.
 
We ni nabii yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…