Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
Uchumi unakuaje huku pesa inashuka tamani?

sector ipi iliyokuza huo uchumi kwenye awamu ya tano?
 
Mpo wengi sana aina yako,wengine baba zenu wameachishwa kazi serikalini kutokana na wizi,wengine Mali zenu zimetaifishwa kutokana na kuwa za wizi,wengine michongo yenu imechemka awamu hii kutokana na misimamo mizuri ya serikali hii, nk,baada ya hapo mmekimbilia humu JF kila SAA mnaanzisha threads za kumpinga Raisi,na sababu kubwa ni unafiki uliokithiri miongoni mwenu,hamna machungu na watu wa hali ya chini,na mpo wengi sana.Ila kumbuka wakati ukiombea mbaya yatokee Kwa awamu hii Tupo wengi saana huku vijijini tunaofurahia mengi yanayofanywa na JPM na serikali yake,na mwisho wa siku utashindwa wewe na familia yako na watu wa aina kama yako.Na JPM Yupo miaka 9 mbele,serikali ni hii hii,katiba ni hii hii,tume ya uchaguzi ni hii hii,na CCM ni hii hii,kama hutaki hama nchi,na yule mwingine atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo,he will never be the president of this country,NEVER.
 

NAFIKIRI UNGETUMIA HOJA KUMPINGA INGEPENDEZA SANA...........

Huo Uzi unaitwa ngumu kumeza!!!!!
 
Hali ishakuwa mbaya safari za magogoni to chato ...haaaaa
 
Kujibu
NAFIKIRI UNGETUMIA HOJA KUMPINGA INGEPENDEZA SANA...........

Huo Uzi unaitwa ngumu kumeza!!!!!
Kujibu hizo hoja ni kuanza kueleza mazuri yaliyofanya kwenye kila alilobeza,anayajua yote na wewe unayajua pia,ila mnajitoa ufahamu kutokana na hasira zenu binafsi,aidha mmetumbuliwa au ni Lile kundi kubwa humu JF linalopinga kila kitu cha serikali hii kutokana na hasira za kushindwa uchaguzi tangu mwaka Jana.Ukiwa na reasoning fupi popularity ya humu JF inakufanya uone wa TZ wengi wana hasira na serikali hii,kumbe ni kinyume chake.Watu wengi wa hali ya chini wanafurahia serikali hii kuliko awamu yoyote ya karibu ni,wanaona Mwanga mbele,nyie malofa wachache ndo mnaishia kuleta threads za propaganda humu JF mkidhani kila mtu Yupo JF na mkidhani mitazamo yenu ni ya kila mtu.Ila mwisho wa siku mtachemka.Narudia JPM Yupo miaka 9 ijayo,katiba ni hii hii,tume ya uchaguzi ni hii hii,CCM ni hii hii,mengine mnajipa moyo tu.Fanya kazi Kwa bidii,enzi za ujanja ujanja zimekwisha.
 
Umesongoka ,lakini matokeo yako hayaridhishwi na hii hoja,bora ungejiita kilaza mjuaji
 
KUSHINDA NI LAZIMA. ...NARUDIA TENA NI LAZIMA JPM ATASHINDA TU!
 
Ila kumbuka kunamsomi wa University of dar es salaam alipata hapo degree ya kwanza na ya pili ila hajui kuongea kingereza wakati masomo toka secondary school alkuwa aksoma kwa kingeleza. Je alifauluje? Na yeye yupo kati ya ao 61% au ni 39%.
KUONGEA KINGEREZA SIO KIGEZO CHA KUFAULU MTIHANI
 
Wewe ni walewale walio kwenye kundi la 61%. Utafauluje mitihani ambayo yote umefanya katika lugha ya kienglish ila huwezi ongea iyo english. This is only in Tz.
KUONGEA NA KUANDIKA VITU TOFAUTI,KUNA MTU ANAKUA ANAONGEA VIZURI SANA MPE MTIHANI ANAFELI,NA MWINGINE KUONGEA HAWEZI UKIMPA MTIHANI ANAFAULU.YAANI KINGEREZA CHA KUANDIKA NI MZURI CHAKUONGEA MBAMBAISHAJI
 
Naona kwako ww uchaguzi haujaisha!!!!
Sasa kwa kuwa ww ni Team Lowassa na tayari umeshajua kuwa Rais Magufuli ata/ame/shindwa...KWA NINI USIENDELEE KUWEKEZA KTK KUZUNGUSHA MIKONO KAMA ULIVYOFANYA HAPO AWALI HUKU UKIFURAHIA KUWA MWAKA 2020 FISADI WAKO (Ambaye unaamini atabadilisha hayo NDANI YA MIEZI 9) ATASHINDA KITI HICHO??? Mbona kama unamshitua tena Magufuli abadili ili mpate kazi ngumu tena ya kushinda 2020?????
Jitahidi kuweka record...hata kama ni kitabu uandike ili ukitumie kushinda mwaka huo 2020...
But for now----I advice you to shut up your lips...nukuu unayoona ameshindwa ili uyatumie kushinda. ..Lakini nakupa angalizo katika kutimiza hilo USIWE KIKWAZO KWA ALIYESHINDA KIHALALI KWA SASA..MWACHE AHARIBU KWA MUONO WAKE ILI WW UFANIKIWE KWA UCHAGUZ UJAO
 
KUONGEA NA KUANDIKA VITU TOFAUTI,KUNA MTU ANAKUA ANAONGEA VIZURI SANA MPE MTIHANI ANAFELI,NA MWINGINE KUONGEA HAWEZI UKIMPA MTIHANI ANAFAULU.YAANI KINGEREZA CHA KUANDIKA NI MZURI CHAKUONGEA MBAMBAISHAJI
Sasa mbona umejijibu? 61% ya wahitimu wa vyuo wamefaulu ndyo ila uwezo hwana. Sasa unazani uwezo uliokuwa unaongelewa ni uwezo wa nini? Moja ya uwezo ni wakuweza kujieleza kwa lugha ya kingereza. Kumbuka pia kingereza ni official language ya Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…