Facts Muhimu kuhusu WCB

Fact.
Noun.
Prural: Facts

A thing that known or used to be true.

Sio maoni.
Not always, sometimes can be[emoji1313][emoji1313]

information used as evidence or as part of a report or news article

OR

used to refer to a particular situation under discussion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ngoma za slow namuelewa sana, ule Naogopa ni faya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo Flava imeondoka na Ruge

Siku hizi hata wapogoro, wafipa na wanakua wanapiga naija Tu
Nandy ndio mazao ya mwishomwisho ya our proud bongo fleva

Ukimsikiliza harmonize siku hizi hata huelewi unasikiliza naija song recorded in a poor studio au ni mwanamuziki wa ridhaa
 
Ni wewe tu umezeeka ...

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Nahisi wewe umri umekutupa
 
Mtoa maada umekuwa mjanja Sana kama mtu akiingia kichwa kichwa hawezi jua uko pande gani ila wadau tqtumekusoma. iko hivi kumshindanisha mondi na harmo sio sawa hawalingani kimizania.1 Harmona alikuwa super star kabla ya kujiunga kwa mondi?wasanii pekee waliukuja wcb ambao walikuwa na kazi tayari kitaa ni Rich
Mavoko na ( mbosso kwa maana ya kundi yamoto band) sasa Katika hiyo namba tano yako kuwa mond ana ammssi harmo sio kweli. Kwa kuwa mond ndie kamfanya harmo awe hapo. Kama una akili timamu huwezi sema mond anamiss harmo. Kwa kipi ? Mfano je we ushawahi kufuatikia baadhii ya leble music duniani? Je unawajua puff daddy, made, Looney wa bad boys? angalia Flow zao Kisha njoo kwa mond na harmo yaani harmo kakopy kila kitu toka kwa mond. Ina maana katika wasaani wote wa wcb aliyefaidika zaidi na matunda ya mond narmo. Ukibisha njoo na fact


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikono ya dhahabu ya Ruge ndio iliyomjenga Mond..Rest in Power Bro
 
Mikono ya dhahabu ya Ruge ndio iliyomjenga Mond..Rest in Power Bro

Diamond alikataliwa THT iliyokuwa chini ya Ruge kwamba hajui kuimba.

Papa Misifa akamchukua akamwamini,kawekeza hela kwa zaidi ya miaka mutatu,Bob Junior akamfundisha jinsi ya kuimba leo hii ndio huyu Diamond tunayemwona.

International kasaidiwa na Sallam na AY ,huko mbele kaendelea mwenyewe.

Mondi na Marehemu walikuwa wafanyabiashara,sababu aliona potential iliyokuwa nayo Diamond iliyojengwa na Papa Misifa na Bob Junior,wakazinguana kila mtu akachukua hamsini zake.

Tusimpe sifa mtu asiye stahili,so mwisho PAPA MISIFA na BOB JUNIOR ndio walio mjenga huyu Diamond tunayemwona,kwani bila wao kumwamini baada ya kufukuzwa THT angekuwa sasa hivi anauza mitumba.I know you,you are WCB hater.
 
Nilichogundua bongo fleva ndio tafsiri ya mziki mzuri kwako. Ila bongo fleva in short frequency haitoboi mbali ya east Africa.Na hakuna mziki wa ujanjajanja mziki ukiona umehit jua ni mziki mzuri watu wamependa.

Lavalava ni msanii mkali kwa stlye zake sema wewe hujazielewa, Rayvany ni msanii mkali sema wewe ndio hufuta nyimbo zake ila kwangu zinadumu na kwa ubora wa mziki wake nenda kwenye platforms za mziki utaona balaa lake.

Let me mind you bongo fleva ilishashindwa kupenya kwenye soko la Africa, thus y wajanja wanamix na Radha tofauti ili kupenya Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hate nini WCB wakati kuna watu marafiki zangu..mimi natoa challenge..nikupe mfano Mapinduzi Balama alikuwa anacheza Alliance vizuri tu lakini alivyokuja Yanga kaitwa timu ya Taifa na kacheza CAF Champions league..maana yangu Mond katoka alikotoka lakini Clouds imembeba sana huo ndio ukweli na huyo Tale Ruge alikuwa anamlipa 1m kila mwezi afanye kazi ya kutafuta vipaji...alafu kasikilize wimbo wake wa kuchana na Romy jones ulivyokuwa mbaya..kubali Mondi hana kipaji ana juhudi..case closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…