Facts Muhimu kuhusu WCB

Opinions unaita Facts

Utakuwa haujalewa
 
harmonize ni kipaji sema kama amepanic hivi anaimba kwa kupanic saivi, ukisikiliza ngoma zake akiwa wasafi na akiwa single utagundua kuna utulivu flan unakosekana sema nahisi atatulia tutaendelea kula ngoma kali kama kawaida yake
 
harmonize ni kipaji sema kama amepanic hivi anaimba kwa kupanic saivi, ukisikiliza ngoma zake akiwa wasafi na akiwa single utagundua kuna utulivu flan unakosekana sema nahisi atatulia tutaendelea kula ngoma kali kama kawaida yake
Ila ile Bedroom nimeikubali sana
 
Ruge hajawahi kuwa manager wa mondi, mondi alikataliwa alivyoenda kuomba nafasi THT ndo akaenda kwa Papa misifa ndo akafanya nae kazi ya nenda kamwambie, mbagala,lala salama pamoja na album nzima ya nenda kamwambie baada ya kufanya vizuri Sana na kupata jina akaona ajitegemee akaamua kuvunja mkataba na Papa misifa ambaye alikuwa anatoa hela ili mondi aende mjini.Baada ya kuvunja mkataba akaona atafute manager atakaye mmanage ndo akampata babutale na babutale akamuambia kwanini asimuongeze mkubwafela so akadecide kumu add mkubwafela.Diamond baada ya kufanya vizuri Sana domestic na East Africa akataka kufanya kazi na davido Hilo deal likaconnectiwa na sallam na ndipo collabo ya mondi na davido ikatokea ndo diamond akaanza rasmi kufanya kazi na sallam baada ya hapo.Tokea hapo diamond akapaa kimataifa after few days Diamond akaingia kufanya biashara na ruge (clouds media)ndomaana akaona kila Jambo kubwa alikuwa akifanya diamond lazima irushwe clouds Kama all white party, 40 ya tiffah mtoto wa diamond pia Wasafi festival ambapo Mara ya kwanza idea ilikuwa inahusisha wasanii wa Wasafi pekee ambapo bdozen alikuwa mc ilifanyia jagwani sea breeze na iringa.so ruge Hana mchango wowote kwenye career ya diamond zaidi tu yakufanya nae biashara na hiyo biashara ndio iliyosababisha ugomvi wa mondi na ruge.
 

Kwani Balama Mapiduzi alifukuzwa Alliance?

Hapa tunamzungumzia Mondi na si Tale,hivi Mondi baada ya kufukuzwa THT na kuambiwa hana KIPAJI,je kama asingekutana na Papa Misifa na Bob Junior sasa hivi si angekuwa anauza mitumba?

Imembeba wapi ni sawa nakusema ,Madrid imembeba Cristian Ronaldo,huku ukisahau Sporting Lisbon walio mtengeneza na Man United kupitia Sir Alex Ferguson iliyo mjenga mpaka akawa hivi tunavyo muona.

Yaani wewe ni bonge la HATER wa WCB humu JF au tuzitafute comment zako ktk thread zinazoisifia WCB au unazani hatukuoni.

Alafu pale THT si kuna wasanii wenye vipaji mbona hamna hata aliyefikia robo ya mafanikio ya Mondi.

Eti "natoa challenge" hapa ndio unatoa challenge.
Diamond youtube account yake ina mpaka akienda maliwatoni...Wasanii wa ukweli wanatumia VEVO strictly music videos only..
 
Ila ile Bedroom nimeikubali sana
isee lile goma lina utulivu wa hali ya juu,ila nimemisi zile vocal zake za kipumbavu alafu tamu

"kajiri kajiri.........saga inuka funga kanga kajirrr.....matajiri matajiri....kutwa wanajipanga matajiriiiii....basi go down kwa nyuma...fanya kama una dunda sloww down kwenye kona mwisho wa reli kigoma......nikomeshe.........."

NOMA MNO
 
Hao wasanii walishaishiwa....siku hizi mambo yote ni Singeli tu.
 
ndugu Bora ukae kimya ili watu tusijue ufinyu wa fikra katika ubongo wako, huwez sema Diamond hana kipaji hata siku moja, Hizo juhudu bila kipaji ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Wewe ni team Fulani au hater kabisa. Sijawahi kuwa na team ila kwa hili imebidi nimkingie kifua diamond maana mumezidi kumchukulia poa
 

9. Ukiwa mwana wcb, nawe ni mwanachama wa chama chetu kileeeee.
 
Point no 6 kuhusu Rayvanny inaenda kuthibitika soon
 
Lazima ujue WCB kwasasa ni bonge la Platform, mtu yoyote akiwa pale ataonekana na kusikika[emoji1545][emoji736][emoji817][emoji1548][emoji1534]
 
Ni sawa ila kwa mzee yusuph hapana amerudi ila watu tumekaza tupo busy na amapiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…