Facts of life

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Mwanaume ni kama taa muda wowote kukiwa na giza unaiwasha na inawaka hapo hapo na ikimaliza kazi yake inazimika mara moja

Mwanamke ni kama pasi ukitaka kunyoosha nguo unaiwasha inachukua muda kushika moto na ikishakolea ukimaliza kazi yake unaizima na inachukua muda mrefu kupoteza joto

Wakubwa wenzangu hapo mtakuwa mmenielewa
 
mmh kweli ....funza ni funza na hawezi kuwa kipepeo ata siku moja
 
Mi hata sijakuelewa. fafanua tafadhali.
 
aah
 
Fafanua kwa picha tafadhali.
 
samtaimu yanatokea matatizo ya umeme hilo taa linagoma kuwaka kabisa .
 
Interesting!
Lakini hebu tuangalie.... PASI na TAA.... vyote vinawaka..lakini kazi zake ni tofauti... katika mfano wako, ina maana muwako wa "vifaa hivyo" ni kwa kazi tofauti? Hebu tufafanulie zaidi...ili somo lako unalotaka kutupa liwe na maana.
 
hapo cha maana ni umeme unavyofanya kazi haraka kwenye taa na taratibu kwenye pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…