Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Ili mtu uone aibu, kitu cha kwanza ni hiyo aibu kwanza iwepo, ndipo ionekane, au mt uweze kuona aibu, lakini kwa Bahati mbaya sana, kila mtu anazaliwa na mapungufu yake au ulemavu Fulani, mimi nimezaliwa bila kupewa mgao wa aibu!, hivyo sina aibu kabisa hata chembe!, ndio maana siku zote nasema kweli Daima bila kumuogopa mtu yoyote, na kuhusu hili la udikiteta wa rais Magufuli, sidhani kama kuna mwana jf mwingine yoyote aliyelizungumzia humu kuliko mimi, na kwa taarifa yako, sijaishia kuuzungumza tuu humu, bali nina Makala katika weekly magazine nauzungumzia udikiteta.
Swali ni kwamba kwa nini The economist iwaume?Nani kamtaja?Nani kasema ndie walikua wanamtaka?Sijaona mahali kapost hicho kitu...Nadhani umeamua kua mganga mpiga ramli....
Just relax...Jibu vitu tangible hapa,acha kujibu vipi abstract ambavyo havipo!
Halafu,kwanini The Economics imewauma sana?Yaani imewauma sana,ni mwezi sasa mnalia....
Poleni bwana "Itakua wanawaonea gere na Maliasili zenu na Uchumi unaopaaa sana".."Ni wivu wazungu kwa Magufuli"..Hahahaaa,my ribs!
Swali ni kwamba kwa nini The economist iwaume?
Badala ya kuchambua uchumi wa Tanzania wamebakia na utunzi wa majina mapya kwa Rais wetu.
Inaelekea hata hilo The economist huwa hulisomi in details kwa sababu isingekuwa ngumu kunielewa.
Tatizo lugha ya kizungu.Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
Anataka work permit huyoSpoiler alert!!!!!Mzungu keshakula hela ya CCM...
Tunaelewa..hahahhaaa....kalipwa madafu mbwa mmoja wa kizungu nae abweke...
Eti "has worked with Poor Communities for four years now" ,halafu una audacity ya kutuletea huu upupu?
GTFOHMF!
Wingi wa maandishi hauwezi kuwa wingi wa hoja...The economist kama walivyo vyombo vingi vya Magharibi wanaongelea negativity tu inapokuja segment ya habari za afrika.The Economics wana model yao ya kutafuta news na ku-produce,leo wamegotea TZ maana kuna juicy news they think is good for the publication,sasa wewe mchimba chumvi sijui kwanini unawapangia cha kuandika?TZ ipo duniani,kuna news wanayoona inawafaa,wewe eti unapiga wasiongelee eti "inawauma",wakati kinachomuuma ni wewe kwa wao kuandika wala sio wao..Wewe ndio una matatizo na zile news kwasababu hazikufurahishi wewe hapo.Eti kwavile hakufurahishi wewe basi wasingeandika,hivi wazima nyie kweli?
Rais wa nchi yenu ndio kiongozi /driver wa uchumi wenu,news lazima iwe centred kwake na nchi yake.Sasa sijui kwanini unawapangia wamwiteje kwenye makala zao kama nani?Basi ungekua wewe mwandishi uandike utakavyoona inakufurahisha,too bad wewe sio mwandishi wa hiyo makala kwenye The Economics.Huwezi pangia mwandishi afanyeje kazi yake!Huwezi mpangia Doctor afanyeje kazi yake,ni ukichaa wa hali juu....
Acha kutoa theory za kufikirika.Inashangaza mtu kujifanya mganga wa kuagua kujua mtu hua anasoma magazeti gani wakati hujui chochote...Ni vema ukajibu vitu tangible kwa usahihi kuliko kuanza kuzua story ambazo huna any means ya prove..Na kukuelewa wewe sio lazima,nina haki ya kutokukuelewa pia....Na uelewe mimi kutokukuelewa wewe sio kosa langu tu,ni kosa tunashare mimi na wewe,maana mtoa hoja ana wajibu wa kumuelewesha msikilizaji wake,na msikilizaji ana wajibu wa kujitahidi kuelewa,sasa asipoelewa kati yenu ni shida yenu nyote wawili...Sijui kwanini nyani haoni kundule!
Oh,well,JINGA LAO!
Uakuta mtu anaandika maandishi mengi lakini maudhui ya maana ni moja tuWingi wa maandishi hauwezi kuwa wingi wa hoja...The economist kama walivyo vyombo vingi vya Magharibi wanaongelea negativity tu inapokuja segment ya habari za afrika.
Halafu unamkuta mburula wa kiafrika anaona raha kulisoma ...ndio maana unadharaulika huko ulipo.
Hiyo model yao ni mbovu na ipo kwa maslahi yao na haimaanishi iko sawa...
What I know wanashabikia ushoga ....Je kwa maini yako wako sawa?
He is just responding to what has already been displayed as a political stand...Bringing the facts and fairness.The writter seems to have some political inclinations angle that's compeling him to cling to such hymns of praise to the king when we the people know what kind of double standards have been shown to us It is obvious that what's been said and what's been done on the ground quite differ and this brings confusions to my senses that perhaps the writer is drinking on same fountain gushing from none other but C.C.M
...ni weupe mno ndio maana wanakuwa maprosUnajua hao vijana ni asilimia ngapi ya watanzania? Zaidi ya 60% ya watanzania bado ni peasants. Hao vijana unaowasema hata 5% ya peasants hawafiki. Kwa mwaka graduates hawafiki hata laki 1!! Halafu unataka kulinganisha na kundi la peasants ambao wapo si chini ya milioni 20?!?
Btw, kwa hiyo ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege ndiyo kipaumbele kwa "white colar job seekers"??
Yaani kwanini pro-Magufuli ni weupe hivi?!?
Wingi wa maandishi hauwezi kuwa wingi wa hoja...The economist kama walivyo vyombo vingi vya Magharibi wanaongelea negativity tu inapokuja segment ya habari za afrika.
Halafu unamkuta mburula wa kiafrika anaona raha kulisoma ...ndio maana unadharaulika huko ulipo.
Hiyo model yao ni mbovu na ipo kwa maslahi yao na haimaanishi iko sawa...
What I know wanashabikia ushoga ....Je kwa maini yako wako sawa?
Trump anakosolewa sana na vyombo vya huko but The economist hawajawahi muita Rogue.....
Kwa mujibu wa sheria ipiKupinga maendeleo ni usaliti ..kumpinga anayepinga ufisadi kwa kuwa mmemchukua fisadi ni usaliti kwa wananchi...
...then why bother tracing the one?baloney rejoinder
Nikiwa abroad ndio sio MTZ?
Hivi kuna mtu TZ alipewa madaraka na mungu kuchagua huyu ni mtz na huyu sio mtz?
Wazaliwa wa TZ wote ni haki yao ya asili kua watz,hawezi ibuka mtz mmoja akaamua ku-nulify utz wa wengine waliozaliwa kama yeye!hata mahakama haiwezi,sembuse wewe?
Hivyo utoto wako uache kabisa!
Sio wajibu wangu kuisifia serikali...kuipinga au kuikubali ni uamuzi wangu,usinipangie!
Nani kakwambia ukiwa nje ya nchi hujui yanayoendelea tz?mbona vijani mna uelewa mdogo sana?