Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Status
Not open for further replies.
Tulimumu
Huyo mzungu naye ni opportunist tu. Kuwa Mzungu hakumfanyi asiwe mjinga kwani hata Idd Amini alikuwa na wazungu kibao wanamsapoti na wengine walikuwa washauri wake. Mmojawapo ni huyu
Bob Astles - Wikipedia
 
Labda akaunti zake zimehakiwa....punde atajitokeza na kudai hivyo.
 
Tulimumu
Kwani wale wa The Economist ni Wamakonde? Unaongelea Mzungu mmoja wakati kuna Watanzania mamilioni wanalalamika wakiwemo Maaskofu 26 wa KKKT na waumini wao. Hapo sasa umejaribu kuweka uzito kwenye rangi ya ngozi, ama?. Huyo Mzungu mmoja si ni kama Bashite na wewe tu mnavyomtetea dikteta?
 
Ngoja waje wasaliti wa nchi hii watoe mapovu bila hata facts!! Mzungu ametoa facts mururwa siyo blabla za Chadema na Maaskofu wale wa KKKT!!
 
Ngoja waje wasaliti wa nchi hii watoe mapovu bila hata facts!! Mzungu ametoa facts mururwa siyo blabla za Chadema na Maaskofu wale wa KKKT!!
Tangu lini UVCCM mmeanza kuabudu wazungu.
 
Hao hao wazungu wanaitwa na Maccm kuwa ni mabepari, ila wakisifiwa aaaah hakuna shida
 
Huyu mzungu amegundua kuwa ukitaka kuchota mali za Tanzania msifie Magufuli, ccm na Serikali yake, hapo sasa atachuma mpaka avimbewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngoja waje wasaliti wa nchi hii watoe mapovu bila hata facts!! Mzungu ametoa facts mururwa siyo blabla za Chadema na Maaskofu wale wa KKKT!!
Kwahiyo leo Bepari kamwaga pointi.....hahaha ila vijana wa lumumba mna akili kama za kuku
 
Nadhani vyuma vimekaza sana baada ya kutumbuliwa,pole.Hata hivyo huo sio mwisho wa maisha,tafuta kibiashara kitakachokuingizia hela ya halali, achana na tabia ya wizi wa fedha za wananchi.
Tatizo haujui unaongea na mtu wa namna gani.
 
Huyu mzungu shoga tuu nae awezi kutusemea na mshahara wake wa milioni 7 na house boy wa kummasage nanii yake ataonea wapi shida zetu za laki na nusu kwa mwezi !??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…