Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Hajielewi huyo, anasubiri habari za Mange ili atekeleze agizo kutoka Marekani, ndio vijana wengi utakaokutana nao njiani wanasikiliza muziki kutoka kwenye simu zao za mikononi. Hizo ndizo akili zao.Na makala ya kwanza ya The Economist ilidhaminiwa na UKAWA?
Even when kenya is not involved you still pull us in ...wewe uko na shida akiliThe funny thing our neighbors up North are happy about!
Leave the poor bugger alone. He has wasted so many years revealing and promoting his envious attitude towards Kenya. It is his sole life's work. It will top up there when his obituary is being read.Even when kenya is not involved you still pull us in ...wewe uko na shida akili
Mawazo ya kimasikini sana haya.Sawa kabisa. Wale "noveau riche" waliokuwa wanatesa kwa matanuzi ya pesa za pombe bar na nyumba na magari ya bei mbaya mitaani sasa wapo chali na wamekuwa vitu adimu siku hizi. Magufuli is doing a great job job. Everybody is toeing the line aka wanaisoma namba.
mahamakama gani ilitoa hiyo hukumu kuwa ni wezi?Wizi wa Accacia unawaumbua wazungu
Those who do not support JPM are stupid and sick. This is the president we want. Corruption was something normal. Watu walikuwa wakiita mil 10 hela ya mboga, tena bila ya uoga.Hii sio habari nzuri kwa wale jamaaa. Sitashangaa wakija na hoja kuwa aliyeandika ni Polepole
Wizi wa Accacia unawaumbua wazungu
Well said but hata hivyo Watanzania wengine ni kama wao hawaishi hapa Tz kwasababu vitu vizuri vikiwa Tz sio vizuri vi vibaya. Kwa mfano Lindi na Mtwara siku za nyuma walihangaika sana kuuza korosho kwa bei nzuri wamefaulu tu juzi halafu wengine wanachang'anya na kokoto hata mchanga. Basi tu ndo wengine wa Tz tulivyo. Samehe 7x70.Uchambuzi huu bora sana. Hapa suala sio akina Msigwa wala vijana wa Lumumba, hapa tatizo ni sisi wote Watanzania. Economist wanaishambulia nchi yetu, wanamshambulia Rais halafu tunakaa kimya wote waandishi wa habari, wasomi, wachambuzi wa siasa na kila mtu eti tunamsubiri Msigwa na Lumumba. Tena mimi kwa mawazo yangu kwenye mapambano kama haya akina Msigwa na Lumumba hawapaswi kufunua mdogo maana wataonekana wanajitetea. Hapa palitakiwa tuuone ubingwa, umahiri na uzalendo wa akina Pascal Mayalla. Kilichofanywa na Economist ni attack against our country not against somebody. Tatizo letu we are not putting Tanzania first. Lakini nadhani hili limetufunza.
Ndugu zangu with the presence of Social media platforms tunaweza kuwanyoosha hao Economist wasirudia kuandika upuuzi wao. Mimi nimejifunza sana na huyu Mzungu wa Arusha kuna mengi hajaandika wacha nijipinde nitarudi sio muda mrefu
Lakini si umeelewa dhamira mkuu?..makala ina makosa mengi madogo-madogo ya kiuandishi.
..siamini kama aliyeandika ni msomi wa kiwango cha PhD.
Mkuu ulisoma analysis ya mh msigwa juu ya upinzani wa Tanzania?well narrated, no gun hoja kwa hoja, serikali ina mazuri yake mengi sana
The funny thing our neighbors up North are happy about!