Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Hawa economist nilipitia jarida leo nikajua ni upuuzi, kuna economist & Bloomberg , kwa mbali na BBC ,wanatumika sana kutoa makala ya kuichafua nchi yetu, kuna mtangazaji mmoja wa BBC nimesikia eti anasema maandamano yazidi kupamba moto Tanzania ,jamaa kakomaa na sauti yake kama kala makande kuongea vitu ambavyo havipo, yaani sisi watanazania/waafrica sijui tuna matatizo gani kichwani. Clinton alishindwa uchaguzi, mbona hatuoni rally za kila siku zikiendelea mji mmoja kwend mwingine? sana sana utamuona kwenye fund raising to mara moja , tujikite kwenye udhalishaji na tufanye siasa tukifuata sheria na taratibu,mazungumzo, tukipenda kusikia wazungu wa nje basi nchi yetu hii tutaipasua.
Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
..makala ina makosa mengi madogo-madogo ya kiuandishi.
..siamini kama aliyeandika ni msomi wa kiwango cha PhD.
Huyu mwizi anadai jamaa hafukuzi watumishi live kwenye luninga?! Vyombo vyetu vya ndani viliripoti vipi huu ya tukio lile? Aliwafukuza akiwa wapi? Na ni nani aliyeuliza hadharani kule Kigamboni kuwa ''niwatumbue au nisiwatumbue?'' Uchumi wa nchi hii uko vizuri?! Kwa wananchi wa eneo lipi la Tanzania?!
Nina wasiwasi huyo mbeligiji kuna sehemu alikosea wakam-blackmail kuwa asipowatetea 'watarara naye mbere'
Huyo mtu mwenye jina hilo hayupo. Mtunzi ni wa kutunga. Hii ni barua iliyoandikwa na ccm wenyewe
Mkuu
Umestukia eee?Wameiandika wao wao wakaweka jina la mzungu kama rubber stamp tu.
Hawa CCM ni vituko..ndio kwanza season one tupo..More to come!
Watching....
Kama Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Idara ya Habari Maelezo, Wizara ya Hasbro, hawana uwezo wa kukanusha tuhuma kama zile, hao CCM, wakanushe kwa uwezo gani?!.Huyo mtu mwenye jina hilo hayupo. Mtunzi ni wa kutunga. Hii ni barua iliyoandikwa na ccm wenyewe
Jibu hoja kwa facts kama mwandishi alivyotoa facts!! Acha kubwabwaja!!Spoiler alert!!!!!Mzungu keshakula hela ya CCM...
Tunaelewa..hahahhaaa....kalipwa madafu mbwa mmoja wa kizungu nae abweke...
Eti "has worked with Poor Communities for four years now" ,halafu una audacity ya kutuletea huu upupu?
GTFOHMF!
Hahahahaa!! Yaani hata polex2 ana kigugumizi?Kama Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Idara ya Habari Maelezo, Wizara ya Hasbro, hawana uwezo wa kukanusha tuhuma kama zile, hao CCM, wakanushe kwa uwezo gani?!.
CCM wangekuwa na uwezo wa kukanusha hata nusu tuu, wangeishaitisha press conference!.
Unaweza kukuta Ikulu yetu ime subscribe Daily News, Uhuru na Habari Leo pekee, hilo The Economics kwa lugha ile, alisome nani?.
P
uliyaelewa hayo makubaliano?..Acacia wameiba usd 190 billion.
..halafu tumekubaliana nao NJE YA MAHAKAMA watulipe usd 300 million.
..kilichotokea hapo ni dhuluma juu ya wizi.
Ni kweli mkuu pascal, hili swala ulilipigia kelele kwa nyuzi zako nyingi nilizowahi kuzisoma humu..Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
Hata wewe ulishindwa?au kwa kuwa mada zile zilikupendeza ?Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali
hebu yataje tuyaone..makala ina makosa mengi madogo-madogo ya kiuandishi.
..siamini kama aliyeandika ni msomi wa kiwango cha PhD.
Kichwa cha habari tu kimewaumbua...eti Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli! Hii ni lugha ya wapi kwa sababu hata kwangu ambapo Kizungu ni lugha ya tatu siwezi kuandika kitu kama hicho. Article nzima imejaa makosa ya grammar ambayo hayawezi kufanywa na mtu mwenye exposure kubwa kama inavyodaiwa kwa huyo daktari feki.Wametafuta mchumia tumbo mmoja ili awajibu The Economist? Haha
Ina maana hujaelewa hoja zilizopo kwenye article au unajidai ni mtaalamu wa grammerKichwa cha habari tu kimewaumbua...eti Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli! Hii ni lugha ya wapi kwa sababu hata kwangu ambapo Kizungu ni lugha ya tatu siwezi kuandika kitu kama hicho. Article nzima imejaa makosa ya grammar ambayo hayawezi kufanywa na mtu mwenye exposure kubwa kama inavyodaiwa kwa huyo daktari feki.
Pili, ukipitia article hii kwa umakini kuna kitu utagundua mara moja, inaonekana awali iliandikwa kwa Kiswahili halafu ikatafsiriwa kwa lugha ya Malkia na kubandikiwa jina bandia kwani mtu huyo anayedaiwa kuiandika hayupo. Aina hii ya usanii kwa sasa umeshika kasi katika juhudi wa kuutetea utawala ambao kwa kiwango kikubwa umekosa dira.
Ni yale yaleeee...Trump ampongeza Magufuli, Magufuli atunukiwa nishani kwa uongozi bora, Tanzania yashika nafasi ya kwanza/pili kwa ukuaji wa uchumi barani Afrika na mengineyo. Hii serikali yetu kwa kweli inahangaika halafu watu wenyewe wanaoanzisha hizi porojo ni wale walee [B]Ngokongosha[/B] na jamii ile ile ya wakwetu! Kalaghabaho!
Utaalamu wa grammer? Unaongelea nini, fent ford?Ina maana hujaelewa hoja zilizopo kwenye article au unajidai ni mtaalamu wa grammer