Sikulazimishi ni jinsi gani ya kuandika bali nakuasa yale uliyoandika ya-base kwenye facts na sio marejeo ya vijarida kama The economist na Tanzania daimaItakuwa ni busara kama ungeandika kama mimi nilivyoandika yale unayodhani nikweli na yale unayodhani ni propaganda kwa mtazamo wako!! Usilazimishe niandike unavyotaka wewe.
Lakini the Economist wanapewa jeuri na wasaliti wachache wa ndani. We angalia michango ya social media, na kwa kiasi mainstream media. Yanayoripotiwa kwa kiasi kikubwa ni upotoshaji na yanakosa misingi ya manufaa ya umma. Wenzetu wazungu hata waarabu (Aljazeera) wametanguliza maslahi ya nchi mbele.Uchambuzi huu bora sana. Hapa suala sio akina Msigwa wala vijana wa Lumumba, hapa tatizo ni sisi wote Watanzania. Economist wanaishambulia nchi yetu, wanamshambulia Rais halafu tunakaa kimya wote waandishi wa habari, wasomi, wachambuzi wa siasa na kila mtu eti tunamsubiri Msigwa na Lumumba. Tena mimi kwa mawazo yangu kwenye mapambano kama haya akina Msigwa na Lumumba hawapaswi kufunua mdogo maana wataonekana wanajitetea. Hapa palitakiwa tuuone ubingwa, umahiri na uzalendo wa akina Pascal Mayalla. Kilichofanywa na Economist ni attack against our country not against somebody. Tatizo letu we are not putting Tanzania first. Lakini nadhani hili limetufunza.
Ndugu zangu with the presence of Social media platforms tunaweza kuwanyoosha hao Economist wasirudia kuandika upuuzi wao. Mimi nimejifunza sana na huyu Mzungu wa Arusha kuna mengi hajaandika wacha nijipinde nitarudi sio muda mrefu
What nonsense is this now?What about the most Corrupt, Drunkard president of yours[emoji23][emoji23] The whole universe knows..
Kama hujui Raila anakula nusu mkate pole[emoji23][emoji23] Na Tz ndio tume force mpaka Raila amepewa madaraka makubwa hivyo, We Rule the E.AFRICA
Raila is working as your Second president stupid..[emoji23][emoji23] NUSU MKATE.. We have a spy right in your government systemWhat nonsense is this now?Look at yourself!
Sikulazimishi ni jinsi gani ya kuandika bali nakuasa yale uliyoandika ya-base kwenye facts na sio marejeo ya vijarida kama The economist na Tanzania daima
Mtalia sana.
Wanamshambulia uchwara kwa lipi labda?
Makinikia?Puliiiiizz
Acacia walishinda kitamboo sana.Hawana haja ya kuomba msaada Economics eti kupambana.
Acacia walishamshinda vibaya sana mahakamani,vibaya mno...
Semeni kuna fundamental problem na serikali ndio maana wanaongea,kungekua na mazuri wangesema...
Sababu ya makinikia sio yenyewe tu,kuna shida na hii serikali..Hilo mpo na denial nalo....
Sasa serikali nzima inapambana na mtu mdogo kama sisimizi anaitwa Nondo,mtoto mdogo,resources za nchi nzima zimewekwa kwake,ukiulizia why all these?Unashangaa majibu hakuna...Kuna tatizo kubwa very fundamental mnalo..Haya ya The Economics ni symptoms tu.
Tatizo ni Mkulu kushindwa kuwa na msemaji wa Rais mwenye uwezo wa kujenga hoja aina hii dhidi ya magazeti ya nje
Mkuu mambo ya kumpiga vita Msigwa imetoka wapi. Sisi watanzania tunataka awe Msigwa ama Abas wawe wasaidizi wazuri wa Mheshimiwa Rais Magufuli katika kupambana na hivi vyombo vya habari vya nje.Hii sio kazi ya msemaji wa Ikulu, ni jukumu la msemaji wa serikali!!! Unampiga vita Msigwa unafikiri utarithi kazi yake!!
Siyo matsjiri halsli ni wezi mjue mnakazana kumkashifu rais ambaye anapigania haki ya mali zetuMawazo ya kimasikini sana haya.
Mtu unapata kiki kuona tajiri akinyanyaswa?
Nawe utatajirika lini?
Yes, that one, with the empty head!Raila is working as your Second president stupid..[emoji23][emoji23] NUSU MKATE.. We have a spy right in your government system
Zinasubiri baba yako anunue suti ili apande bwege. Pole kwa aliyekuzaa uselessHivi bombardier zetu bado zinapigwa rangi ya Twiga?
Can't open it yeo, send it again[emoji23][emoji23]Yes, that one!Please throw him into the river before tommorrow morning.
Ulitzka Nondo afanywaje kamanda maana Acacia wameshinda nini ? Wapi? Hivi what is your problemMtalia sana.
Wanamshambulia uchwara kwa lipi labda?
Makinikia?Puliiiiizz
Acacia walishinda kitamboo sana.Hawana haja ya kuomba msaada Economics eti kupambana.
Acacia walishamshinda vibaya sana mahakamani,vibaya mno...
Semeni kuna fundamental problem na serikali ndio maana wanaongea,kungekua na mazuri wangesema...
Sababu ya makinikia sio yenyewe tu,kuna shida na hii serikali..Hilo mpo na denial nalo....
Sasa serikali nzima inapambana na mtu mdogo kama sisimizi anaitwa Nondo,mtoto mdogo,resources za nchi nzima zimewekwa kwake,ukiulizia why all these?Unashangaa majibu hakuna...Kuna tatizo kubwa very fundamental mnalo..Haya ya The Economics ni symptoms tu.
Walumumba walisahau kuwa CHADOMO ndiyo wenye kuandika vizuri wasiwape wafanye editingMwandishi hayupo ni Lumumba wamebadili majina tu.
Hebu taja hao wezi.Siyo matsjiri halsli ni wezi mjue mnakazana kumkashifu rais ambaye anapigania haki ya mali zetu
Uandishi ni ukweli Tanzania Daima ukiliita gazeti hata Mange kimambi ni kamanda hiyo ni akili yenuSasa kama wewe unaona kuwa The Economist na Tanzania Daima ni vijarida; hayo ni maamuzi yako na pengine kwako wewe Uhuru na Mzalendo ndio magazeti ya maana!!!! Upofu wako kaa nao mwenyewe.