Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Ulitzka Nondo afanywaje kamanda maana Acacia wameshinda nini ? Wapi? Hivi what is your problem
Hakuna anaelia ,tunashangaa upeo mdogo wa wachambuzi wa economistic,bloomberg & BBC towards Tanzania, na jinsi wanavyotumika, acacia wameshinda vita gani?, wanaumia sana kuona pesa walizokuwa wamezoea kuchota zimebuma, kilichobaki ni kuandika habari za kimagumashi waungwe mkono, lakini at the end wajue hili goma litabaki hivi hivi hadi 2020.
Nondo ajitetee mwenyewe mahakamani, haki yake atapata,kama alitekwa au alijiteka kwa kutaka kuwa mwanasiasa hodari au awe kama mandela bado mahakama itaamua.
Mkuu acha kujibu kimbea kama umevaa kanga, weka facts zako na wewe. Mathalani, jamaa kaandika yule mtumishi wa umma aliyesahau data za bajeti hakufukuzwa kwenye mkutano wa hadhara. Kama una fact ya kupinga hilo weka hapa.
Uandishi ni ukweli Tanzania Daima ukiliita gazeti hata Mange kimambi ni kamanda hiyo ni akili yenu
Nyumbu ni nyumbu tuu.
Jibu hoja kwa facts kama mwandishi alivyotoa facts!! Acha kubwabwaja!!
Hivi ndo vitu ambavyo akina Msigwa na wenzake wa Lumumba inabidi wafanye. Facts zipingwe kwa facts. Siyo hawa vijana wa Lumumba wanashinda JF wakiachia povu na kutukana. Povu na ulalamishi kamwe haviwezi ku-challenge andiko kama la Economist.
Mfano sijaona magazeti ya nje yanapo-acknowledge uthubutu wa JPM kujenga reli, na miradi mingine mikubwa! Hata re-negotiations za mikataba ya madini...I mean siyo kwamba JPM hana mabaya..Lakini na mazuri yake yasemwe! Tumkome nyani giladi!
Next time mkiona gazeti la kimataifa liwe the economist, Bloomberg nk wameandika habari negative kuhusu nchi/serikali yetu..inabidi wahusika waingie front kujibu kwa kuweka records straight. siyo kukimbilia JF na kuanza kulialia kwamba JPM anachukiwa na haya magazeti/jarida. Dunia haina huruma na yeyote.
Ni vizuri kujibiwa ndicho alichokimaanisha siyo kingine najua kwa sisi wengi tulioshangilia toleo la economist huko nyuma hatuwezi kufurahia hii article. Hawa jamaa nilishasema huko nyuma wamebadilika sana baada ya kuwa watetezi wamejikita katika kundi la walafi muanzilishi wao kwa miaka mingi alikua m liberal wao sasa hawajulikani kabisa kama wanasimamia wapi.Mbona kaandika kawaida tu mkuu? au sababu katumia lugha tofauti?
Mkuu,
Nimeshatukia. Nimetumia tool kugundua majina na hilo jina halitokei popote.
Haiwezekani mtu mpaka awe Dr tena aende kuishi nchi za watu kusiwe na trace yake kwenye mitandao yote.
Hii barua imeandikwa na Lumumba na huenda mzee Mwanakijiji ndiye kaandika.
.
Mfano sijaona magazeti ya nje yanapo-acknowledge uthubutu wa JPM kujenga reli, na miradi mingine mikubwa! Hata re-negotiations za mikataba ya madini...I mean siyo kwamba JPM hana mabaya..Lakini na mazuri yake yasemwe! Tumkome nyani giladi!.
Mabaya anayofanya yana negate hayo unayoyaita mazuri. Pia suala la usiri kwenye tendering process na miktaba ya ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa Chato Airport, linafanya public accountability kuwa impossible. Tutajuaje kama Magufuli apigi dili, kama alivyokuwa akifanya Wizara ya Ujenzi?
Besides, nini ni vinapaswa viwe vipaumbele kwenye kuondoa umaskini wa Tanzanian peasants? Kukopa trillion of money kujenga reli na kununua ndege, ama kuwekeza kwenye sekta kilimo na huduma za elimu, maji na afya? CCM wanapenda ku-cherrypick busara za Mwalimu. Wanasahau Mwalimu alisema maendeleo ni watu na siyo vitu. Wekeza kwenye kilimo (irrigation infrastructure, extension services, subsidies za mbegu, madawa, utunzaji wa mazingira n.k.) na elimu (awali, upili na elimu ya juu; na R&D kwenye vyuo na taasisi za sayansi, utafiti na teknolojia). Hivi ndivyo nchi zilizoendelea after vita ya pili ya dunia zilivyofanya.
Kuhusu hiyo commentary iliyojibu makala ya The Economist, jambo moja mwandishi (na pro-Magufuli) amesahau ni kwamba Magufuli amekuwa sehemu ya corrupt goverments kwa zaidi ya miaka 20. Magufuli mwenyewe ni corrupt kama walivyo watangulizi wake Mkapa na Kikwete. Yaani huyo jamaa na pro-Magufuli wengi wanajifanya kama Magufuli katokea chama cha upinzani. This charlie has been part of the crooked CCM gang and system for 20+ years.
Can you put this guy's CV? Or at least a link where his bio is? I can't find him online, with exception of links having this baloney rejoinder. Yaani ni Michuzi na blog gani sijui ndiyo inatokea ukim-google huyo mjamaa.Good, impartial balanced rejoinder.....Dr. Herman Louise Verhofstadt
how European PR firms whitewash repressive regimes
PDFhttps://corporateeurope.org › default › files
13 Jan 2015 · rights are paying European public relations firms and lobby consultancies to whitewash their im- ages, dissidents and opponents, run their elections, hide their
Kipaumbele hakiwezi kuwa kilimo kama vijana wanaojiita wasomi hawataki kwenda vijijini na kujikita kwenye kilimo. Woote wameng'ang'ania mijini na wako mitandaoni 24/7 wanasubiri ajira kwenye taasisi za uuma na binafsi. "WhiteColar job seekers"
Unajua muheza2007 ukitaka kujua taifa hili limelaaniwa angalia sifa anazopewa huyo anayeitwa By Dr. Herman Louise Verhofstadt hadi kufikia hatua ya kuponda ripoti ya The Economist. Mtu huyo hayupo, makala imeandikwa na Mtanzania kwenye blogspot ya mtaani isiyo na hadhi wala sifa inayoitwa africaanalysis.blogspot.co.ukHii makala imeandikwa na mzee Mwanakijiji. Nina uhakika asilimia 99.
Mpaka mtu unajiuliza huu uongo wote faida yake nini?
Ficha aibu zakoSpoiler alert!!!!!Mzungu keshakula hela ya CCM...
Tunaelewa..hahahhaaa....kalipwa madafu mbwa mmoja wa kizungu nae abweke...
Eti "has worked with Poor Communities for four years now" ,halafu una audacity ya kutuletea huu upupu?
GTFOHMF!
Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.
Paskali