Facts za kitabibu

Facts za kitabibu

PipiJojo

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
227
Reaction score
188
Je, wajua kuwa ukioga Mara mbili kwa siku,
Ukiepuka pombe
-ukiepuka sigara,
ukienda gym kwaajili ya kuweka mwili fiti,
ukilala masaa ya kutosha,
ukila matunda kila baaa ya mlo, ukiepukana Na msongo wa mawazo,
ukiacha kutumia aina yoyote ya madawa ya kulevya ikiwemo caffeine inayopatikana ktk chai Na kahawa.
Bado utaishia tu kufa huko mbeleni[emoji14] [emoji2]
 
Nlikuwa nasubir mwisho uniambie nguvu za kiume zitaongezeka...umeniweza
 
Back
Top Bottom