Kwenye mechi yake ya kwanza ya ligi ya mabingwa Gio Reyna mwenye umri wa miaka 17, aliezaliwa Sunderland, anatengeneza pasi ya goli na kumpasia mfungaji Erling Håland mwenye miaka 19 mzaliwa wa Leeds.
Katika mchezo dhidi ya Liverpool Thomas Partey wa Atetico Madrid alipokonya mipira mara 13.
Hakuna mchezaji alienyang’anya mipira mingi zaidi yake katika mechi hio.
Katika magoli aliofunga Erling Håland kwenye ligi ya mabingwa msimu huu...
• amefunga kwa mguu wa kushoto
• Amefunga kwa mguu wa kulia
• amefunga kwa kichwa
• Amefunga ndani ya box
• amefunga nje ya box
• amefunga kwa mkwaju wa penati
• amefunga pia kwenye counter-attack
Atletico Madrid won against Liverpool despite having 27.5% possession, the lowest by a winning team in a UCL knockout game since Basel in Mar 2018 (vs. Man City).