Faculty mpya udsm

xir jyerphy

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
994
Reaction score
184
Habarini wakuu:
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza....
Chuo kikuu cha UDSM kimeanzisha faculty mpya zinazohusiana na petroleum sciences zikiwemo;
Petroleum engineering
Petroleum chemistry
Petroleum geology...

Kwa yeyote mwenye uelewa/ufahamu kuhusu hizi faculty naomba anijuze...
 
Nimeelewa ulichohitaji kufahamu ingawa nadhani ulimaanisha Degree programs na si faculty.

Sekta ya gesi na mafuta ni mpya na hivyo kuna wigo mpana wa ajira kwa siku za usoni.

Ugumu wa shule hauepukiki kwa kozi za Engineering

Nimeona UDSM wametangaza ajira mpya juzi kwa walimu wa ziada kufundisha kozi hizo na hivyo naamini wamejipanga kufanikisha.

Kuhusu maabara za kufundishia na sehemu za kufanyia mazoezi kwa vitendo sina hakika na ni changamoto kubwa kwenye elimu yetu Tanzania kwa ujumla.
 
usiogopo hiyo course iko marketable na ugumu usikutishe ugumu upo ila unajitahidi dogo
 


Shukrani kwa maelezo yako....
 

Faculty ni kitivo ,na hizo programmes zipo ndani ya faculty mfano faculty of cooperative and community development(fccd),ndani yake kuna programmes ambazo ni kama >>community economic development,cooperative management and accounting , kwa chuo kama MUCCoBS, ,faculty of law>> programmes kama law&law enforcement(UDSM) , ,mnachanganya sana faculty na programmes ,, kanuni rahisi ipo hivi ,programme+programme=faculty,,, faculty+faculty= school(college,institute eg.IFM,TIA,NIT,ISW) eg.CONAS(College of natural applied science),, college+College= university eg.MUCCoBS,MZUMBE,SAUT ,UDSM,SUA ,,na ndio maana nasema usilinganishe INSTITUTE NA UNIVERSITY
 
Mpiga msuli hapo mwisho umenisababishia maumivu ya mbavu...LOL
 
Last edited by a moderator:

mpiga msuli usipolewa unakuaga na akili! i like it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…