kindogile Member Joined May 22, 2012 Posts 18 Reaction score 3 May 28, 2012 #1 Naomba niulize kwa wanaojua eti faculty ya Actuarial sciences ukisoma Unaweza kufanya kazi gani na je, ina soko?
Naomba niulize kwa wanaojua eti faculty ya Actuarial sciences ukisoma Unaweza kufanya kazi gani na je, ina soko?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 May 28, 2012 #2 Ivi ni faculty au program?
M Mathy laut nyami Member Joined May 8, 2012 Posts 9 Reaction score 4 May 28, 2012 #3 Insurance and risk management so ni industry ya mambo ya bima
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 May 28, 2012 #4 Umeshawahi kusikia 'google'? Ndo kazi yake, FF amezoesha watu spoon feeding, gggrrrhhh!
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 May 28, 2012 #5 Oya kama una "ugonjwa namba"usitie cerebrum yako kwenye hiyo kitu!
kindogile Member Joined May 22, 2012 Posts 18 Reaction score 3 May 29, 2012 Thread starter #6 Asanteni
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 May 30, 2012 #7 jaman b kind,what happend 2 ،kuuliza c ujinga،. afrodenzi i mc ur kindness. Kijana jaribu kupitia link hiyoActuarial science - Wikipedia, the free encyclopedia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jaman b kind,what happend 2 ،kuuliza c ujinga،. afrodenzi i mc ur kindness. Kijana jaribu kupitia link hiyoActuarial science - Wikipedia, the free encyclopedia