Fadlu kaharibu game ya leo

Fadlu kaharibu game ya leo

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua Liability tu..na Azam alionekana ana dominate sana...

Lenyewe baada ya goli likawa linaonyeshwa linawahimiza Mashabiki wapige kelele zaidi huku likiweka mikono Kwa masikio kuonesha halisikii kelele ziongezwe hio kazi hua ya wachezaji we Mkaburu...

For sure baada ya Lile tukio nahisi wachezaji wa Azam waliliona wakasema tulia na ukiangalia na kocha wa Azam Alisoma kitu akafanya subs nyingi za kifundi na zilizomlipa.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Azam wanafurahi Draw ila mi nasema Kwa second half walivyocheza walitakiwa wajilaumu walitakiwa washinde game walichelewa sana kumtoa NADO.

Mwambien FADLU MKABURU Tarehe 8 atapigwa Vyuma 6 hatoamini aendeleze mbwembwe zake za kijinga.

Usiku Mwema.
 
Tulieni bana msimuu ndio wakwanza kwa kocha, team haigombanii ubingwa Tangu mwanzo Kila mwanasimba anafahamu Hilo, kikosi kimeingiza wachezaji 14 wapya msimu huu. Kwahio tulieni tumdai ubingwa msimu ujao.
 
Tulieni bana msimuu ndio wakwanza kwa kocha, team haugombanii ubingwa Tangu mwanzo Kila mwanasimba anafahamu Hilo, kikosi kimeingiza wachezaji 14 wapya msimu huu. Kwahio tulieni tumdai ubingwa msimu ujao.
Hakuna kutengeneza Team hapa
 
🗣️ Piga kelele kwa Simba.
Oyoooooooo
p_6832124121384522232757_0_5e7075bc9850341bc4dd7edf10dd5eca-jpg.2528770.jpg
 
Back
Top Bottom