Fadlu: Mlikuwa mmezidisha kuisifia Simba kuliko uhalisia

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
FADLU:MLIKUWA MMEZIDISHA SIFA.

.
"Sare hii ni motisha sahihi sana kwa Wachezaji wangu kuelekea Derby!tumeku tukisifiwa na mapambio mengi kwenye vyombo vya habari na huwa nasema sisi bado hatupo kwenye ubora huo,maana media kila wakiniuliza ni kusifia tu mara hamjaruhusu bao mnacheza vizuri,huo sio mpira"FADLU Kocha Simba Sc!
.
MMESIKIA WAPAKA RANGI??

#FutbalPlanetUpdate
1725651397557.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
FADLU:MLIKUWA MMEZIDISHA SIFA.

.
"Sare hii ni motisha sahihi sana kwa Wachezaji wangu kuelekea Derby!tumeku tukisifiwa na mapambio mengi kwenye vyombo vya habari na huwa nasema sisi bado hatupo kwenye ubora huo,maana media kila wakiniuliza ni kusifia tu mara hamjaruhusu bao mnacheza vizuri,huo sio mpira"FADLU Kocha Simba Sc!
.
MMESIKIA WAPAKA RANGI??

#FutbalPlanetUpdateView attachment 3116001

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sijui kama kauli imetoka kwake but kama kweli amewapa reality mashabiki
 
Mtuacheee jamanii...
Kileleni hatushuki ndo tunapanda hivyoo
 
Back
Top Bottom