nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Ndo nini hii? Ufafanuzi taf
Hahahaha mabigisiku ya gulio katerero..
naogopa utamuacha mumeo uhamie kwangu, sikupigi katerero.
'kanyigo kuna mademu wa ukweli! Inshomilee bojoooo....
Tope zinaishiwa maji, ufafanuzi please.....
...........mla halwa.........................
Power To You.....Kazi ni Kwako
Hile k2 ni sooo...!kile kiuno kinatakiwa kiwe kimefungwa kwa praizi ama sivyo ni hatari tupu,dada mmoja anitafute nimpe intro!
Siyo wa Bukoba wote wanaojua hiyo kitu, kuna wengine ni hovyooooooooooooooooooooooooooo kabisa!!!!
Kateroro katerero.. kitchen party please......
Ndiyo raha ya katerero hiyo, kama unagodoro shusha kwenye kirago. Ukimkuta mzoefu ahakuwa na shingo imepida kwa kukwepa maji.
Yeah maji bwerere
Hii TRC inakwenda huko Katerero... Nshomile......??????
mmmmmmmhhhhhh wahaya tuna shida jamani,haya bana,ngoja nijipitie zangu maana hizi stereotype!
Haaaaaaah haaaaaah.....usijisikie ovyo mkuu ......jiulize kwa nini post zinazowahusu wahaya hapa JF hazikosi,tena zenye kutaka kulidhalilisha kabila hili?...jibu ni kwa vile linaonekana na linafahamika.....kwani umesahau ule msemo unaosema ukubwa jalala?
Ndo nini hii? Ufafanuzi taf