Fahamu aina ya mwanaume wanadharauliwa wanawake zao

I think point number 2 N kama umebug bro sababu kw karne hii ukitaka kuoa bikra utazunguka sana kutafuta mshikaki wenye mfupa labd uoe kitoto under age kunzia miaka 12
 
Naunga mkono hoja. Kuoa mwanamke asiye bikra ni dharau kubwa, unachukua used.
 
Mnafanya maisha yenu kuwa wagumu wenyewe...
 
Ishi kwa mtizamo wako mkuu ila sema kwenye suala la baby mama hapo kidogo ndio huwa pagumu maana wengi wajuaji ila swala la sijui bikra ni shida mi mwenyewe nimetoa kadhaa na sikuoa.
Mnafanya maisha yenu kuwa wagumu wenyewe...
 
Naomba niongezee sauti ++++++
 
I think point number 2 N kama umebug bro sababu kw karne hii ukitaka kuoa bikra utazunguka sana kutafuta mshikaki wenye mfupa labd uoe kitoto under age kunzia miaka 12
[emoji23] [emoji23] jidanganye ,ila pole broo wahuni si watu wazuri
 
Ishi kwa mtizamo wako mkuu ila sema kwenye suala la baby mama hapo kidogo ndio huwa pagumu maana wengi wajuaji ila swala la sijui bikra ni shida mi mwenyewe nimetoa kadhaa na sikuoa.
Unajua vijana tunavimitazamo vya kimaskini sana, hasa kwenye masuala ya mahusiano.
Ndo tunapokwamiha, hata utoe bikra ukioa anakua tofauti, maana shetani anaingilia sana ndoa, hivyo nyie wenyewe muwe na msimamo.
 
Mwanaume anayesema ... wanadhalauliwa badala ya wanadharauliwa, subilishwa badala ya subirishwa.
 
Tafiti zako siyo sahihi. Tunaodharauliwa namba moja ni

1 tusio na gari

2 wenye mshahara usio na dictal kuanzia 7

3 wale ambao bado wanaishi kwao hata kama ni mambo safi.

4 hawa sasa ndo akina sisi. Ambao tunahela za mkatomkato kama maji ya mto simiyu. Leo mnakesha bar na mnapita kila kiwanja kesho huna hata hela ya kula kitumbua
 
Namba 2 uongo.........
 
Zote hizo sio sana niijuavyo mimi ni Mwanaume ambaye hajui kodi, wala kujua bill ya maji na umeme.............. vinalipwa je yeye kazi kuangalia tuu..........

Wapi yule mwanaume/ke maji yanakatwa nyumbani na yupo hawezi kuchekecha akili mpk mkewe arudi eti ha ha ha ha zigo la mavi hilo
 
1. Asiye na hela ndio namba 1 sikuhizi kama huna hela ya uhakika au mchongo jua ni swala la muda tu.

2.Asiye na nguvu za kiume yani show hafifu ama asiyeweza kupiga show.

3.Mwanaume asiye na sauti, mjumbe ndio! Kila anachosema mwanamke lenyewe kama ng’ombe linatii tu halileti utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…