Fahamu chanzo cha kondomu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uuume au ukeni wakati wa kujamiiana. dk. condom alifahamika kama mgunduzi wa kwanza wa kondomu

ambaye alikuwa ni daktari wa mfalme Charles II. Hivyo ndiyo alili ya neno “CONDOM”.
Aidha, Dk. Condom alimshauri mfalme kutumia kama kinga kutokana na magonjwa ya zinaa kutokana na tabia yake ya kuwa na wanawake wengi nje ya ndoa yake.
Imeelezwa kuwa kondomu zipo za aina tofauti kutokana na muda na vipindi zilipotengenezwa.

AWAMU YA KWANZA
Kondom zilitengenezwa kwa mimea na zilikuwa mahususi kama kinga dhidi ya maambukizo ya vimelea vya ugonjwa wa kaswende “ugonjwa wa kifaransa”

AWAMU YA PILI
Zilitengenezwa kutokana na utumbo wa kondoo.

AWAMU YA TATU
Kutokana na mpira, hizi zilitengenezwa kuwa urahisi na kwa wingi na zikawa ndizo pekee zenye uwezo wa kudhibiti mimba hadi miaka ya 1960 vilipogunduliwa na vidonge vya majira.
Hata hivyo, tafiti zimeonyesha kuwa kondomu haiina uwezo wa kuzuia maambukizo ya magonjwa ya zinaa vikiwemo virusi vya ukimwi kwa kiwango cha asilimia mia moja.

Chanzo

Human Life International Tanzania
 
kweli kabsa kondom hazizui ukimwi kuna watu watapisha eti kwa cause tu wameona tangaz kweny TV.COM kondom inazuia ukimwi ni uwongo ile ni biashala.
 
kweli kabsa kondom hazizui ukimwi kuna watu watapisha eti kwa cause tu wameona tangaz kweny TV.COM kondom inazuia ukimwi ni uwongo ile ni biashala.

Ukimwi unapatikanaje
 
kweli kabsa kondom hazizui ukimwi kuna watu watapisha eti kwa cause tu wameona tangaz kweny TV.COM kondom inazuia ukimwi ni uwongo ile ni biashala.

Ni heri uamini Mungu yupo, halafu ukakuta hayupo kuliko ukaamini hayupo halafu ukakuta yupo anaperuzi file la dhambi zako!

Binafsi nitaendelea kuziamini condoms hasa ninapopita katika njia nisiyo iamini!
 
kweli kabsa kondom hazizui ukimwi kuna watu watapisha eti kwa cause tu wameona tangaz kweny TV.COM kondom inazuia ukimwi ni uwongo ile ni biashala.

umekurupuka na kunukuu vibaya

wakisema hawazuii kwa asilimia mia wanamana inaweza kuzuia kwa 90 au hata 99 zingine ni za uzembe wa mtumiaji kama kuchana au kutoboa kwa kucha au hata kurudia baada ya tendo
 
kweli kabsa kondom hazizui ukimwi kuna watu watapisha eti kwa cause tu wameona tangaz kweny TV.COM kondom inazuia ukimwi ni uwongo ile ni biashala.

wanasayansi hawajawahi kudhibitisha kitu %100 achilia mbali condoms!
Mimi ntaendelea kuziamini condom na kuzi enzi.
 
usitake kuniambia anaepita kwenye moto huku kavaa lapa na anaepita kwenye moto pekupeku wako sawa..tusidanganyane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…