Fahamu faida za mbegu za mapera

Siku hizi hayapatikani sana huku kwetu daah.
 
Haaa haka kaushauri haka akili kumkichwa wale Wakishua mukachukue kwa umakini mana Hivo vimbegu ni shida Time ya Kukata Gogo
 
Sidhani kama zitakuwa zinaliwa nzima vile kama wengi hapo juu mlivyobainisha side effect!
Labda zitakuwa zinasagwa coz zikiwa ngumu hivo hakuna digestion itajayofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…