Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi.
Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii inayoelezea nikaona sio mbaya kushea na wenzangu wasiojua hili nao wafahamu umuhimu wa unywaji wa BIA, kupitia maelezo ya video hii nami basi nitaanza kugusa angalau mara moja moja.