Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha katika Mafuta na Gesi Asilia, Leonard Constantine Amefanya ‘Risachi’ kuhusu Ushiriki wa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Micro, Small, and Medium Enterprises (SMEs)) katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia. Kufahamu Fursa zilizopo kwa SMEs katika Sekta hiyo, Changamoto zinazokwamisha Ushiriki wao, na kwa namna gani SMEs wa Tanzania wanaweza kunufaika na Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia, tazama mahojiano aliyofanya na The RISACHI kwa kubonyeza linki ifuatayo The RISACHI _ S01E03 with Leonard Constantine