Fahamu immobilizer system kwenye gari

Umeshakutana na watoto warumumba eeeeh wamekukalisha vya kutosha eeeeh code utume japaniii aaah jamaniii hata kama sina ila sio hvyo punguzeniii mazingira ya kupiga pesaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rumion.
Nissan Dualis.
IST new model

Possibly hao labda wanaibiwa through wanaochonga funguo.

Kwenye gari immobilizer inailink funguo na Control box (ECU).

kazi ya immobilizer ni kuiambia ECU kwamba hii funguo ni sahihi na hii siyo sahihi.

Kwa gari yenye immobilizer hakuna mtu atakuibia ndani ya dakika chache tu awe ameondoka na gari. Ni kazi ya muda mrefu na huyo mtu lazima awe pro na obvious hawezi fanya kazi kama hiyo.

Kuna namna kwenye gari unaweza kuangalia funguo ngapi zipo registered and unaweza kudisable baadhi ya funguo ili zisiweze kutumika kwenye hilo gari.
 
Huu mfumo ni mzuri ila sasa restriction ni nyingi mnoo mfano funguo za gari kuangushwa ni kitu kisichoepukika nature kamanmtu ana vitoto vidogo ndani hapo ndio kabisaa

Wajitahidi wapunguze izo restrictions, kuna dualis moja nimeliona lina iyo immobilizer nika rush humunJF nijue ni nininlkn baada ya kusoma huu uzi ah nimelichukia ilo li gari tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…