Fahamu jamii ya Mangbetu

Echazzy

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
65
Reaction score
67
Hawa ni watu ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka kuwa kama urembo.

Kwenye jamii hiyo mtoto akizaliwa hufungwa na kitambaa kigumu kwa nguvu akiwa bado mchanga, ili kuwezesha fuvu lake la kichwa kuchongoka na kuwa refu.

Utamaduni huu ulikuja kupotea baada ya wabelgiji kuanza kuwatawala na mpaka sasa haupo tena.

Hii kwako imekaaje!!? Toa maoni yako kisha share na wana

Wazungu walituokoa na mengj pia.
Halafu nakumbuka na utamaduni fulani wa china wa zamani wa kuvunja viganja vya miguu vya watoto wa kike na kuifunga kwa nguo ili viganja vibakie vya kitoto japo iliwapa vibinti maumivu makubwa ilikuwa eti ndio urembo uliofanya binti aweze kuolewa ama kuwa official concubine wa mfalme ama wanae
 
Ogaaah! Duuuh hii ni noma mkuu
 
Lukaku alifungwa waya kidevuni na kisogoni wakamtupa Burundi akataifishwa kigoma hatimaye kanda ya ziwa! hata ukimuuliza kabila halisi ana waya waya tu !
 
Lukaku alifungwa waya kidevuni na kisogoni wakamtupa Burundi akataifishwa kigoma hatimaye kanda ya ziwa! hata ukimuuliza kabila halisi ana waya waya tu !
Ogaaah! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miafrika bhana...

Sasa hapo medulla oblangata yote si inahamia kichogoni ndo utarajie wangevumbua kitu hao?!

Si bora wale Wamakonde wanaokanda viuno vya vitoto vya kike ili vibinuke!
 
Lukaku alifungwa waya kidevuni na kisogoni wakamtupa Burundi akataifishwa kigoma hatimaye kanda ya ziwa! hata ukimuuliza kabila halisi ana waya waya tu !
Ogaaah! [emoji23][emoji1787][emoji23]
 
. KWANI KUNA UBAYA GANI? HALI YA KWAMBA WASWAHILI WANASEMA KIZURI KULA NA NDUGUYO. NAMI NAIPELEKA HII SIMULIZI KULE WHATSAPP KWENYE MAGROUP YETU
Ogaaah! Naomba uniadd hilo kundi please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…